Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Israel anachofanya na kuuwa watoto na raia wasikuwa na hatia na kushambilia majengo, Hospitali, Kambi za Wakimbizi pamoja na Shule.Hivi hizi habari unatoaga wapi make israel inachapika afu dunia nzima inandamana kuionea huruma palestina hii ni ajabu. Nikiangalia aljazira na maongezi yako naona vituko tu
Ndio maana nawaheshimu sana warusi coz hawaogopi na wanaenda wenyeweVita ya siku hizi imebadilika sana..siyo ile ya kizamani can you imagine Mmarekani na coallition yake wameogopa kuivamia Yemen. Vita ya siku hizi unapiga na mtu usiyemjua..watu wanakusakizia week oponent ukiingia kichwa kichwa kumbe kuna watu wenye nguvu nyuma yake. Jeshi la Israel lipo overated ni jeshi ambalo linaweza kupambana na mtu alitefungwa kamba mikono yote na siyo mtu anayeweza rudisha mapigo, same to marekani na wenzake.
Ukimbizi ni mtego ambao hawawezi uingia, wakitoka kurudi inaweza ikawa ndo basi tena, acha kiendelee kuwaka tu,Mataifa ya uarabu sijui kwanini hawasaidii raia pale palestine.
Hamas hakuna anachoweza kutetea zaidi ya kujificha tu.
Ingependeza nchi za kiarabu zikaruhusu raia watoke waombe ukimbizi hata kwa muda kwa nchi za karibuni
Hakuna mtu atalalamika wapigane atakayeshindwa dunia itaona. Haya mambo ya kubadilishana mara wanakufa, mara wanaona maajabu kila mtu na propaganda zake.
Inatia huruma sana mkuu.Ukimbizi ni mtego ambao hawawezi uingia, wakitoka kurudi inaweza ikawa ndo basi tena, acha kiendelee kuwaka tu,
Kitu nachoogopa hii ruti ya rwd sea serikali isije ikaanza leta utata kwa kisingizio kipya vita ya wayemeni imepandisha bei
🤣 🤣 🤣Mataifa ya uarabu sijui kwanini hawasaidii raia pale palestine.
Hamas hakuna anachoweza kutetea zaidi ya kujificha tu.
Ingependeza nchi za kiarabu zikaruhusu raia watoke waombe ukimbizi hata kwa muda kwa nchi za karibuni
Hakuna mtu atalalamika wapigane atakayeshindwa dunia itaona. Haya mambo ya kubadilishana mara wanakufa, mara wanaona maajabu kila mtu na propaganda zake.
Nani karidhia kuishi kwenye shida?🤣 🤣 🤣
Poleni sana pambaneni kwanza na hamas acheni kulia
Suala la kuomba ukimbizi hawalitaki wameridhia kuishi kwenye shida wanajua kheri kwao ipo njiani
Hamas pigeni kazi
Kudhani israel nao ni watu wema ni tatizo piaInatia huruma sana mkuu.
Worst enough wanaojiita freedom fighters hawawezi kulinda hata raia mmoja.
Ni nani aliwapa hii plan ya kufanya shambulio bila kufikiri unalinda vipi raia?
Natoaga wapi kwani video huzioni?Hivi hizi habari unatoaga wapi make israel inachapika afu dunia nzima inandamana kuionea huruma palestina hii ni ajabu. Nikiangalia aljazira na maongezi yako naona vituko tu
Hii ulikuwa unajibu mm au umekosea mkuu?Kudhani israel nao ni watu wema ni tatizo pia
Wala sijasema hvyo mkuu.Kudhani israel nao ni watu wema ni tatizo pia
Kwa hiyo hapo umefirwai mwenyewe😃IDF wanapakia mauti Gaza….
Ni kwa sababu Hamas wenyewe ni watoto tu siku zote hawawezi kukua.Hivi kwenye hii vita Hamas hawafi? Maana Israel ikishambulia utasikia anaua vitoto vichanga na wanawake