Hii mnaizungumziajee wakuu
Kumbe ukweli unaujua!!? 😅maisha ya matajiri na wafanyabiashara wakubwa wenye ushawishi wa kisiasa na kandarasi za serikali mara nyingi hujaa usiri, ushindani mkubwa, na nadharia nyingi za kijamii pindi majanga yanapotokea.
Soma hapo kwenye redMnakumbuka ajali mbaya ya gari ya Ginimbi (2020)?
Na sasa hii ya helikopta ya Wicknell Chivayo (2026)?
Kiuhalisia vifo hivi vinaacha maswali mazito yanayogubikwa na hofu, ushirikina na siri nzito za ulimwengu wa giza.
Kwenye macho ya jamii, vifo hivi si ajali za kawaida tu za barabarani au angani..! Bali ni mwisho wa mkataba wa siri uliotiwa saini kwa damu.
Utajiri wao wa kupindukia na wa ghafla unahusishwa moja kwa moja na "Kuromba"—kitendo cha kupokea kafara ya maisha au ya ndugu ili kupata ukwasi wa haraka, madhabahu ambayo mwishowe huanza kudai malipo yake kwa njia ya ukatili usiomithilika..!
Genius "Ginimbi" Kadungure, na Wicknell Chivayo ni mifano hai ya
Mishale ya ushirikina inayozidi kuzama pale vifo hivi vinapofuatana ndani ya familia, jambo linalotafsiriwa kama laana ya kifamilia au "madhabahu yanayonyonya damu".
Ndio maana hata baada ya kutoweka kwao, ndugu wengi huogopa kugusa majumba au magari yao ya kifahari kwa hofu ya kukumbana na "Ngozi"—roho dhalimu ya kisasi inayomfuata yeyote anayetumia mali zilizopatikana kwa njia za kishirikina.
Mali hizo huonekana kuwa na "madoa ya kiroho" yanayoweza kufuta uzao mzima wa familia.
Simulizi hizi za kutisha zinakamilishwa na ukweli kwamba matajiri hawa mara nyingi hutabiri vifo vyao wenyewe.
Kupitia ndoto nzito, maonyo ya mababu, au sauti za chini kwa chini kutoka kwenye madhabahu yao, wengi wao huonekana kujua tarehe na saa yao ya mwisho..❗
Wengine huacha maagizo mazito kama vile kuchomwa moto kwa nguo zao au jinsi ya kugawa mali zilizobaki ili kuepusha mabalaa.
Mwisho wa siku, jamii inabaki ikiamini kuwa huwezi kuwa na utajiri wa usiku mmoja usio na jasho, kwani kila senti ya nguvu za giza ina gharama yake—na gharama hiyo daima ni uhai.View attachment 3681383
Good!They killed him
A perfect foreseen!? Or else 🤷🏿♂Soma hapo kwenye red View attachment 3681519
Huyu,naye ni wa kumalizana nako mapemaAlisababisha jf ikafungiwa tukateseka akalale anapostahili tu
UKO SAHIHI,,,Mnakumbuka ajali mbaya ya gari ya Ginimbi (2020)?
Na sasa hii ya helikopta ya Wicknell Chivayo (2026)?
Kiuhalisia vifo hivi vinaacha maswali mazito yanayogubikwa na hofu, ushirikina na siri nzito za ulimwengu wa giza.
Kwenye macho ya jamii, vifo hivi si ajali za kawaida tu za barabarani au angani..! Bali ni mwisho wa mkataba wa siri uliotiwa saini kwa damu.
Utajiri wao wa kupindukia na wa ghafla unahusishwa moja kwa moja na "Kuromba"—kitendo cha kupokea kafara ya maisha au ya ndugu ili kupata ukwasi wa haraka, madhabahu ambayo mwishowe huanza kudai malipo yake kwa njia ya ukatili usiomithilika..!
Genius "Ginimbi" Kadungure, na Wicknell Chivayo ni mifano hai ya
Mishale ya ushirikina inayozidi kuzama pale vifo hivi vinapofuatana ndani ya familia, jambo linalotafsiriwa kama laana ya kifamilia au "madhabahu yanayonyonya damu".
Ndio maana hata baada ya kutoweka kwao, ndugu wengi huogopa kugusa majumba au magari yao ya kifahari kwa hofu ya kukumbana na "Ngozi"—roho dhalimu ya kisasi inayomfuata yeyote anayetumia mali zilizopatikana kwa njia za kishirikina.
Mali hizo huonekana kuwa na "madoa ya kiroho" yanayoweza kufuta uzao mzima wa familia.
Simulizi hizi za kutisha zinakamilishwa na ukweli kwamba matajiri hawa mara nyingi hutabiri vifo vyao wenyewe.
Kupitia ndoto nzito, maonyo ya mababu, au sauti za chini kwa chini kutoka kwenye madhabahu yao, wengi wao huonekana kujua tarehe na saa yao ya mwisho..❗
Wengine huacha maagizo mazito kama vile kuchomwa moto kwa nguo zao au jinsi ya kugawa mali zilizobaki ili kuepusha mabalaa.
Mwisho wa siku, jamii inabaki ikiamini kuwa huwezi kuwa na utajiri wa usiku mmoja usio na jasho, kwani kila senti ya nguvu za giza ina gharama yake—na gharama hiyo daima ni uhai.View attachment 3681383
Mtumie Abdul & Saa100 ujumbe huuUKO SAHIHI,,,
KUna jamaa tulisoma nae ....alikuwa na hali ngumu sana ya kimaisha ...akaacha shule....akaanza biashara...akaanza kusafiri huku na kule ...ghafla akawa tajiri wa kupindukia wa miaka ilee....wakati suzuki zinaingia samurai..alinunua mpyaa kilometer sifuri......akanunua gari KIA tani 3 unusu kama 30 akanunua mashine za kusaga nafaka na kukoboa mipunga...akajenga bonge la jumba kijijini kwao enzi hizo kupauwa kwa kutumia MBEZI TILES wewe ni tajiri.....ghafla jamaa akafia uzingizini.....hakuna aliyethubutu kugusa yale magari....... yalioza kwa kutu...machine za kusaga hata wezi waliogopa kuzigusa...ile nyumba kijijini ilipata nyufa za kutisha na kuanza kuota miti na nyasi ndefu,,,manake hakuna ndugu wala jamaa mwenye ujasiri wa kukaa humo....waliojaribu...wako kimya ...hawasemi nini kiliwapata.......
Shehee......Mtumie Abdul & Saa100 ujumbe huu
Shehee......
Mie sio mwana SIASA....YOU BETER WATCH YOUR BACK...LINDA MARINDA YAKO......