Vifo vya ghafla vya mamilionea vijana nchini Zimbabwe katika mtazamo wa kiroho

Soma hapo kwenye red
 
Huyu na mama yake ,tunatakiwa tusali sana, na kuksombea nako kapande Helicopter
 

Attachments

  • IMG_7503.jpeg
    326.1 KB · Views: 12
  • 3AF3CC38-7B7C-4A4B-8049-3304AD44236B.jpeg
    311.6 KB · Views: 7
UKO SAHIHI,,,
KUna jamaa tulisoma nae ....alikuwa na hali ngumu sana ya kimaisha ...akaacha shule....akaanza biashara...akaanza kusafiri huku na kule ...ghafla akawa tajiri wa kupindukia wa miaka ilee....wakati suzuki zinaingia samurai..alinunua mpyaa kilometer sifuri......akanunua gari KIA tani 3 unusu kama 30 akanunua mashine za kusaga nafaka na kukoboa mipunga...akajenga bonge la jumba kijijini kwao enzi hizo kupauwa kwa kutumia MBEZI TILES wewe ni tajiri.....ghafla jamaa akafia uzingizini.....hakuna aliyethubutu kugusa yale magari....... yalioza kwa kutu...machine za kusaga hata wezi waliogopa kuzigusa...ile nyumba kijijini ilipata nyufa za kutisha na kuanza kuota miti na nyasi ndefu,,,manake hakuna ndugu wala jamaa mwenye ujasiri wa kukaa humo....waliojaribu...wako kimya ...hawasemi nini kiliwapata.......
 
Mtumie Abdul & Saa100 ujumbe huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…