Vifo vya ghafla vya mamilionea vijana nchini Zimbabwe katika mtazamo wa kiroho

yess....
chivayo alikua kwenye mnyororo wa herbet angel yule nabii....
nimeikumbuka kwenye gold mafia
Nadhani hizi route zake zisizokua na mwisho East Africa ilikuwa ni kuimarisha mtandao wao ,yani serikali inakubali urafiki na watakatishaji fedha na TISS wapo tu πŸ˜₯πŸ™Œ
 
Nadhani hizi route zake zisizoakua East Africa ilikuwa ni kuimarisha mtandao wao ,yani serikali inakubali urafiki na watakatishaji fedha na TISS wapo tu πŸ˜₯πŸ™Œ
watu wairudie gold mafia....
na huyu jamaa kuna mahali aliwahi sema nabii herbet alimsaidia kipind hana kitu
 
hii picha nimeitoa page ya wa zimbabwe
naona uchawi wa punje na jogoo pia ulo huko
 

Attachments

  • IMG_3272.png
    1.5 MB · Views: 12
watu wairudie gold mafia....
na huyu jamaa kuna mahali aliwahi sema nabii herbet alimsaidia kipind hana kitu
Hawa manabii hawa ,huyo jamaa ukisikiiza mahubiri yake ni mkavu kama vile mwema kumbe ni among biggest money launders in Africa.
Wananchi wa zimbabwe wanapitia mengi sana
 
Maisha ya utajiri wa kupindukia unaokuja kwa haraka haraka bila mipango na mikakati madhubuti nyuma yake hugubikwa na siri nyingi za kutisha na zenye kuogofya...

Maisha ya watu nyuma ya pazia yanaweza kuwa na siri nzito na mambo ya kutisha ambayo kwa nje si rahisi kuyaona na kuyagundua
 
Michezo hiyo wanafanyiana na magenge yao ya kihuni hakuna kifo cha kiroho hapo..!!

Chunguza duniani kote vifo vya watu kama Chivayo jibu utapata..!!
Kqahiyo unataka kusema chivayo alimuua mme wa samia ili agonge bila bugudha, nayeye kauliwa na jeikei ili agonge bila bugudha na jeikei atauliwa na bashite ili agonge bila bugudha na bashite atauliwa na sandalendi ili auze jezi bila bugudha au nimekuelewa vibaya?
 
Mpuuzi weee 😹😹😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…