Mpigania uhuru wa pili JF-Expert Member Joined Apr 12, 2023 Posts 3,380 Reaction score 6,376 Mar 15, 2024 #141 Accumen Mo said: Kufanya starehe za kulewa na uzinzi ni ushamba ...Kaa vile unaweza kufanya mambo kimya kimya . Kama unafanya basi ni ushamba acha. Click to expand... Unasafari ndefu sana kifikra
Accumen Mo said: Kufanya starehe za kulewa na uzinzi ni ushamba ...Kaa vile unaweza kufanya mambo kimya kimya . Kama unafanya basi ni ushamba acha. Click to expand... Unasafari ndefu sana kifikra
Accumen Mo JF-Expert Member Joined May 15, 2022 Posts 18,036 Reaction score 39,882 Mar 15, 2024 #142 Masikio Masikio said: Unasafari ndefu sana kifikra Click to expand... Washamba ndio maana huko kutwa ni ugomvi na umalaya sio starehe hizo ,utakutana na watu wa hovyo. Wenzenu wanaenda sehemu zilizotulia ,sip kulewa
Masikio Masikio said: Unasafari ndefu sana kifikra Click to expand... Washamba ndio maana huko kutwa ni ugomvi na umalaya sio starehe hizo ,utakutana na watu wa hovyo. Wenzenu wanaenda sehemu zilizotulia ,sip kulewa
Mpigania uhuru wa pili JF-Expert Member Joined Apr 12, 2023 Posts 3,380 Reaction score 6,376 Mar 15, 2024 #143 Accumen Mo said: Washamba ndio maana huko kutwa ni ugomvi na umalaya sio starehe hizo ,utakutana na watu wa hovyo. Wenzenu wanaenda sehemu zilizotulia ,sip kulewa Click to expand... Neno lako sio sheria kwa hiyo usitumie nguvu kubwa sana
Accumen Mo said: Washamba ndio maana huko kutwa ni ugomvi na umalaya sio starehe hizo ,utakutana na watu wa hovyo. Wenzenu wanaenda sehemu zilizotulia ,sip kulewa Click to expand... Neno lako sio sheria kwa hiyo usitumie nguvu kubwa sana
Nafikiri Zaidi JF-Expert Member Joined Oct 20, 2014 Posts 516 Reaction score 684 Mar 15, 2024 #144 Huyu jamaa Masikio Masikio mjuaji sana [emoji23][emoji23]