Vifo vya vigogo vyaacha Simanzi

Hapo ni mwendo wa mashindano ya kukusanya watu wengi tu hakuna barakoa wala kunawa mikono ukiuliza et corona imepungu.
 

Attachments

  • hqdefault.jpg
    23.7 KB · Views: 1
Unatumiwa na wapinzani au mabeberu ?
Ww unasubiri kiongozi aje akwambie "sasa chukua tahadhari" wakati unazijua, hii sio sawa kabisa.
Yani kila jambo kiongozi, kumbuka na yy alisoma kwa manufaa yake ndg acha kupotosha jamii
5tena au nasema uongo ndg zangu
 
Lini chato imekuwa ni Ikulu nyingine? Endelea kutoelewa lakini siku ukitia akili kichwani utaelewa tu. Waliomtangulia wote hawakufanya huu upuuzi unaoendelea sasa.
Nafikiri hapa tunajadili madai ya kwamba kakimbia corona dodoma,hilo ndio ambalo nalipinga hapa maana ni madai yasio na mashiko.
 
Mbona yameshasemwa mno wewe hujui?

Kwa maana kumbukumbu zako zaonyesha walakini, nakupa sasa moja tu ili usisahau tena:

A waachie wataalamu wa afya uongozi wa vita dhidi ya gonjwa hili. Are we asking for too much?

We can't breathe!
Hapo utapumua vp unafikiri? Ni mwendo wa nimonia tu.
 
Tunaongozwa na jitu hovyo kabisa.
 
Mpaka lije kuondoka na kigogo mmoja wa juu ndio akili zitawasogea. Na litaondoka tu na mtu wa juu hivi karibuni.
Sawa, kama itakua ndio njia ya viongozi wetu kurudi kwenye ukweli- kukiri covid19 upo na kutoa takwimu na taarifa sahihi, na kushirikiana na mataifa jirani kudhibiti hili gonjwa, ni vyema. Ila tusiombeane kifo, tuombe Mungu awape hekima na kuwaondolea kiburi viongozi wetu, hasa kiongozi mkuu.
 
Kuna mchungaji Nigeria aliingia Kwa Simba ili awe Sawa Sawa na Daniel. Hata hakutua chini walikuwa wameshamgawana. Mchungaji mwingine kanda ya ziwa alitaka kufunga siku 40 kama Yesu hazikuisha ,wakazika. Kuna Rais mmoja anawadanganya Wananchi wasichukue tahadhari Kwani MUNGU kaondoa Korona Tz. Tusubiri matokeo.
 
Si suala la kudanganywa na mtu yeyote bali wananchi wenyewe wanavyoichukulia corona ndio tatizo. Hebu tizama hiyo picha,hao nao wamefanya hivyo kwa kuamini uongo wa rais kuwa corona imeondoka kwa maombi?
 



Eeh mola wetu wakumbushe viongozi wao tunashindwa kupumua.

We can't breathe

Nduhu u kweshema!
 
Tunakoelekea sisi watanzania nadhani tutakuja kutunishiana misuli. Wale ndg zangu na mie kazi tunayo
Mh Nina wasiwasi na kizazi hiki Kama kitaweza kufanya hivyo, labda after three generations from ours 🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…