Vifo vya vigogo vyaacha Simanzi

Vifo vya vigogo vyaacha Simanzi

Gazeti limeandika UPUUZI, UCHOCHEZI, UZUSHI KWA MGONGO WA COVID-19:
1. Vigogo: Hata Cpwaa, kumuita Padri Kigogo maana yake nini?

2. Huyo Grigedia, RC mstaafu kafa na presha, nyie mnataka kutuaminisha ni COVID-19.

KIUFUPI: MMETUMWA. HAMTUTISHI, COVID-19 IPO ILA HATUIOGOPI. YASHAPITA MAGONJWA MANGAPI? TUCHUKUE HATUA ILA TUENDELEE KUCHAPA KAZI BILA HOFU NA UZUSHI NA TUENDELEE KUSALI, MUNGU ATUSAIDIE
 
Mungu hasaidii wapumbavu wa kujitakia kama wewe.
 
Lini chato imekuwa ni Ikulu nyingine? Endelea kutoelewa lakini siku ukitia akili kichwani utaelewa tu. Waliomtangulia wote hawakufanya huu upuuzi unaoendelea sasa.
Ila this is not fair
Mzee amezingua.. hawezi kumpokelea Rais mgeni Chato..mara mia hata angempokelea Dodoma.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Gazeti limeandika UPUUZI, UCHOCHEZI, UZUSHI KWA MGONGO WA COVID-19:
1. Vigogo: Hata Cpwaa, kumuita Padri Kigogo maana yake nini?

2. Huyo Grigedia, RC mstaafu kafa na presha, nyie mnataka kutuaminisha ni COVID-19.

KIUFUPI: MMETUMWA. HAMTUTISHI, COVID-19 IPO ILA HATUIOGOPI. YASHAPITA MAGONJWA MANGAPI? TUCHUKUE HATUA ILA TUENDELEE KUCHAPA KAZI BILA HOFU NA UZUSHI NA TUENDELEE KUSALI, MUNGU ATUSAIDIE
Ccm inapenda sana watu kama nyie ... Ineptic ,sick mind and complicated
 
Viongozi wetu walitoa maneno ya dhihaka sana kuhusu gonjwa hili, hawakuacha maneno ya akiba, na licha ya gonjwa kurudi kwa kasi ya 4G ila bado wanaongea maneno ya uongo kwamba halipo (Wamelibatiza jina jipya Pnemonia).

Taifa lipo njia panda, wananchi wanataharuki wakisubiri tamko la serikali, ila serikali ipo kimya ikisisitiza hakuna Covid-19 kuhofia kuaibika mbele ya walimwengu.

Mpaka lije kuondoka na kigogo mmoja wa juu ndio akili zitawasogea. Na litaondoka tu na mtu wa juu hivi karibuni.

Nasema uongo ndugu zanguuu?
hujawahi dandanya ndugu yangu
 
Narudia tena siku ukitia akili kichwani utaelewa tu.
Nafikiri hapa tunajadili madai ya kwamba kakimbia corona dodoma,hilo ndio ambalo nalipinga hapa maana ni madai yasio na mashiko.
 
Author wa hilo gazeti ameona ni sifa kuchapicha gazeti namna hiyo au ?
Waandishi wa siku duh ! E Mungu tuepushe kwenye hili janga.
Kwani kusema watu wamepata simanzi kwa vifo vya watu maarufu ni kutaka sifa?

Mbona hata JF tumesikitika CPwaa kufariki?
 
Narudia tena siku ukitia akili kichwani utaelewa tu.
Huyo jamaa anaweza kukuletea ubishi akakwambia Dodoma ni mji mkuu wa Marekani na Washington DC ni mji mkuu wa Tanzania!
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
😂😂😂😂Naelewa Mkuu na hii yote imesababishwa na kuanguka kwa Elimu.
Huyo jamaa anaweza kukuletea ubishi akakwambia Dodoma ni mji mkuu wa Marekani na Washington DC ni mji mkuu wa Tanzania!
 
Magazeti siku hizi hayana issue ..yamemezwa na mitandao....
Wale. Walikuwa wanauza magazeti kwenye foleni barabarani
.Sasa ivi wanauza ukwaju wa baresa.....
 
Narudia tena siku ukitia akili kichwani utaelewa tu.
Kuna vitu havimake sense hata ikiwa yeye anakimbia kweli corona.
20210126_180838.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naelewa Mkuu na hii yote imesababishwa na kuanguka kwa Elimu.
Elimu imeanguka kweli,haiwezekani watu wakajiachia tu bila tahadhari kama vile kwenye kampenii halafu ukiwauliza wanakwambia corona imepungua,wameshindwa kujua tofauti ya kitu kupungua na kuwa hakuna kabisa.
images%20(3).jpg
 
Kinachokusumbua ni ujinga tu.
Hivi unawezaje kuchukua tahadhari kwa ugonjwa unaoenea kwa njia ya hewa?Najua huwezi hata kufikiria,ila kama ungekuwa unafikiria,ungejiuliza maswali mengi na usingepata majibu yake kuhusu ugonjwa huu.

1. Vimelea vya ugonjwa vina uwezo wa kukaa hewani zaidi masaa manne.Hata watu wote wakivaa barakoa,unawezaje kuwazuia wasiteme mate,big G,makohozi ama kupenga makamasi?Ukikanyaga makohozi ukapanda kwenye gari yako,unapuliza dawa kwenye gari?Wanao hawagusi viatu ama carpet la gari?

2. Barakoa za vitenge hazikukingi kupata vimelea vya ugonjwa bali zinakudhibiti usieneze kirahisi kwa kutema mate n.k je kiuhalisia hicho kinafanyika?

3. Matumizi ya pesa taslimu,note na coins,unadhibiti viti visitumike kueneza ugonjwa?Je unadhani tuna uwezo hasa vijijini kutumia mitandao kufanya manunuzi?

4. Unadhani ni rahisi kuwakinga watumishi wote wa afya ambao wanakutana na mgonjwa kuanzia yule anayefungua faili hospitali hadi muhudumu wa mwisho anayekupa dawa ukatumie?Unajua bei ya barakoa moja N.95?Ilikuwa inauzwa sh.50,000 na unaivaa masaa manne tu!
Una utaratibu mzuri wa uthibiti wa taka zinazotokana na hivi vitu?

5. Unayafahamu maisha ya mtanzania wa kawaida au ndio nyie mliozaliwa mjini mnadhani nyanya zinalimwa kwenye friji?

6. Umewahi kufikiri kuhusu gharama za msingi pekee inazotumia serikali katika kutoa huduma za afya?
Unadhani tuna utajiri wa kukabiliana na huu ugonjwa?

7. Umewahi kujiuliza mortality rate ni kiasi gani kwa nchi kama Kenya na Uganda wanaochukua hatua kadhaa na kupima faida dhidi ya hasara ya kuifunga nchi?

Yako maswali mengi ila naamini tatizo ni kutaka kuiga wazungu kila kitu wakati mazingira yao ni tofauti sana na yetu.Jitahidi kufikiri vizuri utamuona JPM kama shujaa
Wewe wala si malaika. Wewe ni ibilisi mwenyewe. Haikufikirishi watu kufa. Uko kama una maslahi na kila kifo.

Kwanini nia yenu ni kupotosha tu kuwa kuchukua hatua dhidi ya ugonjwa huu ni kufungia watu ndani au kufunga mashule?

Kwanini ni nia yenu kupotosha kuwa serikali haziwajibiki kwa maisha ya watu kwenye dharura kama hizi. Serikali zisizowafaa wananchi wake wakati wa dhiki zitakuwa na umuhimu gani basi?

Mna maslahi gani na upotoshaji kama huu wakati maisha ya watu yanapotea kama hivi?
 
Back
Top Bottom