Vifo vya vijana hawa miaka 80 na early 90 huko ushuani, Oysterbay

hahahahahahahaah kweli kabisa, tulikatazwa watoto wa Mbuyuni sababu ni wahuni , wengi wao walitoka uswazi .
Kuna Mzee mmoja wa Hill Rd (siku hizi wameiita Yasser Arafat Rd) mnoko huyo, nilikuwa nikienda kumtembelea mshkaji lazima aniulize "Unakaa wapi? Baba yako nani?"

Yani mshua alikuwa kama hataki mwanae alete ile crew ya Kinondoni Kajima nyumbani.

Mnakumbuka mechi za OFC na Kajima?
 
Dah yule handsomeboy alikua ,dah its sad alifariki nasikia alikuwa ana itwa Benjamin Rwegasira , alifriki longtime sijui tatizo ni nini ilikuwa , kitu li fariki akiwa SouthAffrica or America .
 
Kuna Mzee mmoja wa Hill Rd mnoko huyo, nilikuwa nikienda kumtembelea mshkaji lazima aniulize "Unakaa wapi? Baba yako nani?"

Yani mshua alikuwa kama hataki mwanae alete ile crew ya Kinondoni Kajima nyumbani.

Mnakumbuka mechi za OFC na Kajima?
Duh OFC ilikua kIboko , kuna ishu zao fulani fulai inabidi tuu tusiziseme hapa ila duh , ilikuwa soo, Huyo Mzee ni nani ,Mansoor au nani?
 
Hongera sana , ila pole hukua na baba mwenye upendo wa kukupa hadhi waliyo pewa wengine, ila yote hayo ndi yame kujenga kuwa mtu wa kujitegemea na kusimama kam wewe ,safi sana mkuu .
 
Hii habari ya kuangalia dollar ndani na mimi nilishawahi kuambiwa na watoto wa Msasani, ila nilivyowajibu mpaka leo wananikumbuka.
 

Sisi tumeondoka 1986 hapo
 
Duh OFC ilikua kIboko , kuna ishu zao fulani fulai inabidi tuu tusiziseme hapa ila duh , ilikuwa soo, Huyo Mzee ni nani ,Mansoor au nani?
Alikuwa anakaa nyumba next na kina Cool Moe Cee.

Cool Moe Cee alitisha sana, alikuwa na kigari chake ki two doors, anakuja nacho shule Tambaza.

Basi akitukuta njiani anatupa lift. Yani ilikuwa kitu cha ajabu jamaa anakuja shule anaendesha gari, wakati walimu hawana magari.

Cool Moe Cee was such a cool dude maan.

Alikuwa ana rap yake moja hiyo anataja wanyama wote halafu anajipa characteristic zao, anamalizia "Cool Moe Cee".

Enzi hiyo katoka Marekani nafikiri.

Akitembea anadunda hakuna mfano, kapiga dark sunglasses na ballet kama Black Panther.

Nimekumbuka mbali sana.

Yuko wapi siku hizi yule mchizi?
 
Hii habari ya kuangalia dollar ndani na mimi nilishawahi kuambiwa na watoto wa Msasani, ila nilivyowajibu mpaka leo wananikumbuka.
Hahahahah kumbe nao walikushauri , hawa wa msasani wali haribu sana baadhi ya watoto wa Obay dah hahahahaa ndio wengine walipelekwa hadi kwa Wahaya hapo Maandazi road hahaha
 
mlihamia lini hapo na kabla yenu alikuw ana ni , jina la huyo mzee ndionime lisahau , alikuwa Waziri au ndio nyie?

No m-sure hakuwa waziri alikuwa DG TIRDO, pale baba alihamia na kaka zangu wakubwa late 70s so sisi wengine tukamjoin 1983. 1986 tukaondoka. Yaani hata ninavyovikumbuka ni kichwa tu iko sawa but I was really young. Kaka zangu wakubwa ndo wanaweza kuwa na details zaidi
 
Mossy is a cool dude , ila sijui ndio tean aikawje , was so bright aisee . Ok ngoa ni kumbuke pale zile nyumba , Kwa kina Mossy jirani kulikua na mzungu, nyumba ina fuata ni kw amansuri, ok, Nyumba inayo tizamana na kina Mossy ni kwa Bayona ( Mzee huyu alikua hana shida unapiga naye story safi tuu) Nyumba inayo fuata aliku ana kaa mzee mmoja anaitwa Kitipwi na waka hama akaja hamia Kitwana Kondo . Nyumab inayo fuaya ni Mzee moja wali hamia walitoka America anaitwa Muhombela , oposyte ni Mama mmoja mumewe alifraiki zamai aliitwa Judge Mwkasendo , huyo mzee ni yupi? alikua kama mwarabu? au una sema ukivuka nyumba ya kwenye goroda alikuwa an aka amze moja anitwa Nyakilanyanyi? , hap baadae pia waka hamia nyumba next to Kipokola , au ni hao?
 

Bitterness inaweza kuwa cancer kuwa makini ndugu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Basi na dhani huyo mzee hapo alihama hiyo late 70's na labda mzee wako akaja hamia, Huyo mzee baade kipindi cha Mkapa akaja kuwa waziri kitu kama waziri wa fedha au biashara .
 
Dah yule handsomeboy alikua ,dah its sad alifariki nasikia alikuwa ana itwa Benjamin Rwegasira , alifriki longtime sijui tatizo ni nini ilikuwa , kitu li fariki akiwa SouthAffrica or America .
Dah, sikusikia.

Ndiyo alikuwa anaitwa Benjamin. Very cool guy.

RIP.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…