Watu hawaelewi kwamba popote ulipo katika maisha utakuwa na watu uliowazidi na waliokuzidi.
Na kuwa na roho safi ni kujifunza waliokuzidi wamekuzidi vipi, kutowaonea wivu, kufanya kazi uwafikie, na ukishindwa kuridhika na hali yako, na kusaidia uliowazidi wanaostahili kusaidiwa kadiri ya uwezo wako.
Everything is relative. Hiyo Oysterbay yenyewe ukiilinganisha na The Hamptons ni slum tu.
Kwa standards za utajiri wa dunia, Watanzania ukitoa familia chache sana, wote tuligawana umasikini tu, ila katika hao masikini wengine walikuwa na afadhali kidogo, weng8ne walielimika kidogo, wengine walikuwa na resources kujua waende wapi kujiongeza.
Sasa kugombana ya nini?
Sent from my SM-S908U1 using
JamiiForums mobile app