Vifo vya vijana hawa miaka 80 na early 90 huko ushuani, Oysterbay

Vifo vya vijana hawa miaka 80 na early 90 huko ushuani, Oysterbay

Robert alitupwa zile orofa zinatazama na nyumba ya sanaa karibu na ile round about, you are right the guy was handsome.
Yes ndio hapo nadhani sasa hivi kuna zile towers Uhuru Heights, unajua kisa kilikuaje? ni kweli wali mrusha au wali mchoma kisu? Hata huyo Makatta was a hasomeboy , kwenye msiba, wa mama zetu walikwenda huko kwenye msiba , walipo rudi wakawa wanashangaa wakiuliza why wasichana walivyo kua wana zimia msibani ,waka hawaelewi ni kwa nini , kumbe mademu wali kua na shobo naye kinoma.
 
Tulikua tunaambiana eti John Bichwa ni a pilot wa Lufthansa sijui kama ilikua kweli, alikua akipita na Motorbike yake hatari hahahhaha
Nilionana kitambo sana alafu nahisi alisafiri...wazee wake walikuwa wanahodhi maeneo mengi masaki
Ambayo badaye yakaja chukuliwa
Alikuwa ananiambiaga maeneo mengi huko wao yalikuwa kama mashamba zamani

Ova
 
Nyie vijana wa ushuani wa zamani mbona humtaji mzee wa bataz le mbembez, the American spirit, free education, mzee wa mabebez in the world, akili kubwaz you know, gadem juu ya gadem at 5star hotel, boma yeeee, si mwingine ni super billionaire, lemutuz super brand mtoto wa mkubwa RIP and case closed.
Huyu nadhani kipindi hicho alikua kaisha zamia Meli , yule hakulelewa kwa Baba yake so hakuwa mmoja ya circle za wana Obay, mimi nime kuja mjua ukubwani akiwa NYC na kelele zake hahahahhahahaha
 
Nilionana kitambo sana alafu nahisi alisafiri...wazee wake walikuwa wanahodhi maeneo mengi masaki
Ambayo badaye yakaja chukuliwa
Alikuwa ananiambiaga maeneo mengi huko wao yalikuwa kama mashamba zamani

Ova
oh ok, dah,aiseee, longtime sana , kumbe alikau na wazazi wanaishi TZ pia .hlafu kulikua na Mzungu mmoja alikua na garage Oysterbay mtaa wa Hill road jina nime sahau
 
oh ok, dah,aiseee, longtime sana , kumbe alikau na wazazi wanaishi TZ pia .hlafu kulikua na Mzungu mmoja alikua na garage Oysterbay mtaa wa Hill road jina nime sahau
Kuna picha alikuwa ananioneshaga za obay 1940s,1960s huko

Duh yule mzungu aliondokaga naona

Zamani obay,masaki ukitembea unasikia kelele za mbwa na ndege

Sahv bar sjui lounge makelele tu

Bar kongwe ya mashuwa iliyokuwepo
Ni ile kama unaelekea Hill Road kuna mkiwanja kilikuwa cha farasi,na pia hapo tulikuwa tunaogeshea mbwa

Ova
 
Safi kijana naona umepewa kazi ngumu baada ya ku report. Umeamua rusha file kwa wana jamii ujuwe vile uta anza kazi.
Ila Mimi ningekushauri kurudi ktk maeneo tajwa nakua mwana maeneo ya tukio huku ukijivika shida na matatizo ikiwezekana hata kuingia dampo. Ukianza jamii uwenda ukapata Yale Yale yamo kwenye file pindi itatokea I'd mnafanya nayo uchunguzi au walio kupa kaz.
Nendambali zaidi kutafuta maaskari walio kuwa siku ya tukio uwenda ni wazee sana ila watakufaa ukimaliza hapo ndio uje jamii tafuta zaidi taarifa. Jicho la Tatu.
[emoji28]
 
Kuna picha alikuwa ananioneshaga za obay 1940s,1960s huko

Duh yule mzungu aliondokaga naona

Zamani obay,masaki ukitembea unasikia kelele za mbwa na ndege

Sahv bar sjui lounge makelele tu

Bar kongwe ya mashuwa iliyokuwepo
Ni ile kama unaelekea Hill Road kuna mkiwanja kilikuwa cha farasi,na pia hapo tulikuwa tunaogeshea mbwa

Ova
Hahahahahaha mbwa wetu tuliosha hapo , kuna siku sita sahau mpaka leo naumia, siku hiyo likaja tangazo kwamba kuna chanjo ya mbwa inakuaja na itafanyika hapo kunye roundabout , basi obay nzima ikapeleka mbwa zao hapo , Kume kufika , mbwa yoyote asiye na cheti wana mshika nakumchoma sindano kumuua, kwakweli ilikua so cruel , mbwa wetu tuka mficha, kumbe wakaanz apita majumbani , waka muona wakaja waka mchoma sindano , alikufa , niliumia sana hadi leo .wengine wenye mbwa wakali walikpigwa sirasi na gobole , ila siku ngumu kuisahau aisee .
Kiwanja cha farasi kule ni the Green , wakati tujo watoto kulikua na Mabembea pale so tulikua tuna cheza hapo utotote tuna bembea , tulikua tunakuita Mabembeani .
 
Mada tamu. Zamani watoto wa kishua ndio walikuwa wanatingisha miji.

Now days zama zimebadilika. Watoto wa uswazi wenye vipaji ndio wanatingisha miji.

Diamond platnumz kaja ku change the game.

Kina millard ayo wanatingisha nchi kuliko watoto wa vigogo

Harusi ya nandy na billnass inafunika harusi za watoto wa matajiri wakubwa na hata watoto wa marais
 
Mada tamu. Zamani watoto wa kishua ndio walikuwa wanatingisha miji.

Now days zama zimebadilika. Watoto wa uswazi wenye vipaji ndio wanatingisha miji.

Diamond plautnumz kaja ku change the game.

Kina millard ayo wanatingisha nchi kuliko watoto wa vigogo
Hahahahahha kweli zamani ilikua sisi ndio unatukuta kwenye first clss cabins za ndege , now una wakuta kina Diamond huko , kinacho tofautisha ni attitude tuu.
 
Ni kweli Lemutuz hakujulikana na wan Obay wala Upanga na hakuwahi kaa kwa baba yake, Ippy na yule mwingine mkubwa aliye fariki kwa ajali ndio walikua popular sana.Ruge pia naye alikua ana leta LPs toka US, na hata zile speakers , hapo 7th flour .
Mwingine alikua anatusmbua kwa fuja za uendeshaji ma gari kwa fujo mpaka una hisi roho inataka kutoka ni KInje, , duh, Kinje alikua noma , akija kwenye party huko nje lazima mtajua kafika maana misere ilikua ya kutisha ,lol
Kinje zamani alikuwa mtulivu sana, sema alikuja kuharibiwa na akina Shomari kimbau
 
Hahahahahha kweli zamani ilikua sisi ndio unatukuta kwenye first clss cabins za ndege , now una wakuta kina Diamond huko , kinacho tofautisha ni attitude tuu.
First Class ya kulipiwa na baba yako mwizi serikalini? Watoto wa mafisadi mpo nostalgic na enzi mlivyokuwa mnatafuna pesa za kodi kupitia migongo ya mafisadi baba zenu.
 
Aisee kweli , siku hizi kuna watu wameibuka hahahahahahaha, ume ni chekesha kitu kimoja, kuna jama walikua wana kaa hapo Namanga ,uswazi, sasa walikua wanakuja Obay , wana ndugu zao, hao jamaa ndio wakaanza funza watoto wa kishua wizi, waka wana waambia , ukiingia ndani , cheki kwnye wallet ya baba yako una weza kuta dollar chukua halafu lete, au walio walio fuga kuku,walikua wana waambia ingia bandani iba kuku , sasa kibaya ndio wakawavutisha bangi, kuna jamaa mmoja hadi leo ame data sababu ya bangi na pombe na chanzo ni hao jamaa wa Namanga hapo .Kama mtu amesha wastukia ni nani please anomba asiwataje majina .lol
We jamaa, usijekuwa unawasema akina Deo lee
 
Back
Top Bottom