Wingawinga
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 623
- 1,531
- Thread starter
-
- #241
Hata mimi nilikuja sikia so late kwamba alifariki aisee R.I.P.BenjaminDah, sikusikia.
Ndiyo alikuwa anaitwa Benjamin. Very cool guy.
RIP.
Sent from my SM-S908U1 using JamiiForums mobile app
Hawa kina Kafipa it's so sad nilisikia baba yao alifariki, halafu mama yao naye akafariki muda si mrefu baadaye miaka michache iliyopita, nafikiri ilikuwa 2019 mwishoni.Hahahah aliwahi mburuza binti mmoja kichakani nakumbuka[emoji23]
Mzee Nyakirang'ani huyo bwana, unataka mpaka nimtaje jina.Mossy is a cool dude , ila sijui ndio tean aikawje , was so bright aisee . Ok ngoa ni kumbuke pale zile nyumba , Kwa kina Mossy jirani kulikua na mzungu, nyumba ina fuata ni kw amansuri, ok, Nyumba inayo tizamana na kina Mossy ni kwa Bayona ( Mzee huyu alikua hana shida unapiga naye story safi tuu) Nyumba inayo fuata aliku ana kaa mzee mmoja anaitwa Kitipwi na waka hama akaja hamia Kitwana Kondo . Nyumab inayo fuaya ni Mzee moja wali hamia walitoka America anaitwa Muhombela , oposyte ni Mama mmoja mumewe alifraiki zamai aliitwa Judge Mwkasendo , huyo mzee ni yupi? alikua kama mwarabu? au una sema ukivuka nyumba ya kwenye goroda alikuwa an aka amze moja anitwa Nyakilanyanyi? , hap baadae pia waka hamia nyumba next to Kipokola , au ni hao?
Sasa kama baba ana uwezo why ni bebe box ulaya au ni jichangie kwenda ulaya?, wengine baba zetu wana upendo na wana jali familia , hivyo exerience yako na mzazi wako usifanye ulinganishe na za kwetu , Ulisha wahi ona Prince Charles (Then) aki work at McDonalds? usilinganishe , baraka za wenzako usilaumu , wengne ilikuwa simu moja tuu baba ana mwaga pesa , sasa tatizo liko wapi?, sioni ubaya wowote na kama una watoto acha kuwatesa wape misingi mizuri na sio kuwatesa eti sababu ulipitia shida na wao wapate shida kama wewe hiyo ni dhambi , hapana kwa hilo .Sawa. To “each their own” kama Binblia inavyosema, lakini ukweli ni kuwa you guys were spoiled rotten. Asilimia kubwa ya waliokulia Masaki na O’bay enzi zile walienda Ulaya na Marekani kupitia migongo ya Baba. Siyo kwa juhudi au sifa zao wenyewe.
Hehehehehehe, duh, weli nilisha sahau ukali wake hahahaha kweli kabisa hiyoMzee Nyakirang'ani huyo bwana, unataka mpaka nimtaje jina.
Kwanza alikuwa anakaa kwenye kigorofa hapa, baadaye akahamia hapo hapo next na kina Mosi.
Alikuwa mnoko yule mzee.
RIP.
Nadhani walipishana Mwaka tuu R.I.P. wapendanao nomatter what akitangulia mmoja mwingine hufuata . Kama Kingunge na Mkewe , wapenzi mmoja kiondoka yani mwingine ina bidi labda mmchunge la sivyo atataka tuu kumfuata mpenzi wake .Hawa kina Kafipa it's so sad nilisikia baba yao alifariki, halafu mama yao naye akafariki muda si mrefu baadaye miaka michache iliyopita, nafikiri ilikuwa 2019 mwishoni.
RIP.
Sent from my SM-S908U1 using JamiiForums mobile app
Cha kuchekesha mimi ndio nime geuka kama huyo mzee, madogo wakija na mtu simuelewi , napiga maswali kama wako Immigration , lazima ni jue ni nani ,a a kaa wapi ,ana fanya nini, baba yake ni nani ana yuko toka familia ya aina gani . huwa wanakoma nadhani wana hadithiana uko huyu mzee mnoko , lolKuna Mzee mmoja wa Hill Rd (siku hizi wameiita Yasser Arafat Rd) mnoko huyo, nilikuwa nikienda kumtembelea mshkaji lazima aniulize "Unakaa wapi? Baba yako nani?"
Yani mshua alikuwa kama hataki mwanae alete ile crew ya Kinondoni Kajima nyumbani.
Mnakumbuka mechi za OFC na Kajima?
Upendo pekee hautoshi mkuu. Uwezo ndiyo kila kitu. Cha msingi kwenye hoja yangu ni kwamba wengi kama siyo wote wa generation yako mliyokuwa mnaishi Masaki na Oysterbay, sana sana Baba alikuwa mwajiriwa serikalini nyadhifa za juu kabisa na ndiyo sababu mlikuwa mnaishi maeneo hayo. Sasa kusomesha watoto Ulaya na Marekani kwa mshahara wa Serikali enzi hizo (na hata sasa) inahitaji zaidi ya upendo wa Mzazi. Au tuseme inahitaji rushwa na ufisadi?Sasa kama baba ana uwezo why ni bebe box ulaya au ni jichangie kwenda ulaya?, wengine baba zetu wana upendo na wana jali familia , hivyo exerience yako na mzazi wako usifanye ulinganishe na za kwetu , Ulaishaona Prince Charles (Then) ana work at McDonalds? usilinganishe , baraka za wenzako usisilaumu , wengne ilikuw simu moja tuu baba ana mwaga pesa , sasa tatizo liko wapi?, sioni ubaya wowote na kama una watoto acha kuwatesa wape misingi mizuri na sio kuwatesa eti sababu ulipitia shida na wao wapate shida kama wewe hiyo ni dhambi , hapana kwa hilo .
Wapi hiyo?Mii nlikuwepo mkuu ilikuwa noma sana 😂
Hivi wewe umeona watoto wa kishua wa karne hii wanavyo tanua? unajau kwamba watu wana weza spend hadi like $20K a nighta] at Element? unajua matanuzi ya sasa wewe? Tuache bana tulibarikiwa hata wewe hivyo baraka ungeipata usingeiacha .Upendo pekee hautoshi mkuu. Uwezo ndiyo kila kitu. Cha msingi kwenye hoja yangu ni kwamba wengi kama siyo wote wa generation yako mliyokuwa mnaishi Masaki na Oysterbay, sana sana Baba alikuwa mwajiriwa serikalini nyadhifa za juu kabisa na ndiyo sababu mlikuwa mnaishi maeneo hayo. Sasa kusomesha watoto Ulaya na Marekani kwa mshahara wa Serikali inahitaji zaidi ya upendo wa Mzazi. Au tuseme inahitaji rushwa na ufisadi?
Say What !????Dada wa kazi alikua anakaa Msasani ,hivyo kama ana sherehe nyumbani kwake tulikuwa tuna kwenda huko , tukawa tunapita maandazi road, vibatali kibao na ndio mara ya kwanza nikaona samaki kambare hapo kwenye meza . hahahahahah
Watu hawaelewi kwamba popote ulipo katika maisha utakuwa na watu uliowazidi na waliokuzidi.Bitterness inaweza kuwa cancer kuwa makini ndugu[emoji23][emoji23][emoji23]
Alikua ni mama tuseme sababu alianza kazi toka wazazi wameoana akiwa msichana , hivyo akaweza nunua nyumba huko Msasani na akaolewa na kuw ana familia ingaw abado alikau ana fanua kazi home, Servant Quarter ilikuw ana vyumba viwili alikua hoseboy na kuna ndugu mwingine aliishia hapo ,Say What !????
Kwanini hakukaa Servant Quarters ?
Lol The Hamptons ? mbona umeenda mbali , hapo tuu Karen ,Nairobi bado tuna subiri lolWatu hawaelewi kwamba popote ulipo katika maisha utakuwa na watu uliowazidi na waliokuzidi.
Na kuwa na roho safi ni kujifunza waliokuzidi wamekuzidi vipi, kutowaonea wivu, kufanya kazi uwafikie, na ukishindwa kuridhika na hali yako, na kusaidia uliowazidi wanaostahili kusaidiwa kadiri ya uwezo wako.
Everything is relative. Hiyo Oysterbay yenyewe ukiilinganisha na The Hamptons ni slum tu.
Kwa standards za utajiri wa dunia, Watanzania ukitoa familia chache sana, wote tuligawana umasikini tu, ila katika hao masikini wengine walikuwa na afadhali kidogo, weng8ne walielimika kidogo, wengine walikuwa na resources kujua waende wapi kujiongeza.
Sasa kugombana ya nini?
Sent from my SM-S908U1 using JamiiForums mobile app
Mkuu,Upendo pekee hautoshi mkuu. Uwezo ndiyo kila kitu. Cha msingi kwenye hoja yangu ni kwamba wengi kama siyo wote wa generation yako mliyokuwa mnaishi Masaki na Oysterbay, sana sana Baba alikuwa mwajiriwa serikalini nyadhifa za juu kabisa na ndiyo sababu mlikuwa mnaishi maeneo hayo. Sasa kusomesha watoto Ulaya na Marekani kwa mshahara wa Serikali enzi hizo (na hata sasa) inahitaji zaidi ya upendo wa Mzazi. Au tuseme inahitaji rushwa na ufisadi?
Kwa hili nakukatalia. Mimi nimezaliwa kabla ya uhuru. Tulipopata uhuru kingereza ndilo somo lilitumika darasani. Kwenye miaka ya sabini wakati kiingereza kinaonekana kinapuuzwa, tulianza kuvalishwa kata au kubebeshwa vibao na kuandikwa kwenye daftari ukiongea kilugha tulivyokiita kiswahili au kuongea lugha ya ko ya nyumbani.Pia ni sisi pekee yetu kwenye familia yetu tulikuwa tunajua na kuongea kiingereza. Nakumbuka serikali ya Nyerere ilituonya tuache kuongea kiingereza eti tunaringa na kujionesha kitendo ambacho kinakera wengine.
Iyo mitaa ya oustabey kipindi io tulikuwa mayank kinoma asee 80's ivi.Wapi hiyo?