Vifo vya vijana hawa miaka 80 na early 90 huko ushuani, Oysterbay

Ebana ume nikumbusa kitu, ngoja nikupe hii sad story halafu ndio nije ni kuchane kwa wivu wako ka watoto wa kishua .
Baada ya Makatta kuwawa, tulikuwa na famili friends zetu hao walikua wanakaa mtaa wa Ethiopian cresent and Winding , kwenye hiyo familia Baba yao alisha fariki ( tena naye Kifo cha kutatanisha tetesi alikuwaga judge or hakimu sikumbuki vizuri ). katika hiyo familia kuna mabinti kama 4 na mvulana mmoja.
Suku Makatta amefariki ndio ikabidi kuweka tangazo la kifo kwnye radio na gazeti, Sasa siku nime kaa nyumbani, akaja mmoja wa hao sisters akaniuliza ,kuna gazeti la leo ? nikamjibu ndio , akaniambia wametoa tangazo la Makatta naomba niletee nione, nikaingia ndani nika mletea , kipindi hcho sikumbuki kama nina jua kusoma au la , basi akaaza lisoma kwa sauti na ninakumbuka aksomasehemu ya hilo tangazo ikisema "Baada ya kuwawa kikatili ghorofani" .
Kinacho sikitisha ni kwamba bila kujua ni kwamba naye baada ya muda dada yake anakuja uwawa kwa kurushwa ghorofani wao nao wakatangaza kwenye gazeti hivyo hivyo kusema "Baada ya kuuwawa kikatili ghorofani " ,yeye aliitwa Adelide dada yake aliye uwawa aliitwa Angelica , nadhani kama ulisoma tangazo la makatta utakumbuka kwamba kuna sehemu ilisema "baada ya kuwawa kikatili ghorofani "
 
Ubarikiwe sana aisee, well said.
 
Usisahau pia hao mastaa wanapata sana promo na social medias na hiyo inapromote pia kazi zao. Sasa baadhi ya wa kishua na matajiri wengine wanapenda faragha.So ni rahisi harusi ya Nandy, Zamaradi au Wolper kutrebd maana online tv kama zote mpaka mabango ya barabarani! but hao wenye hela zao utaona tu kwenye page za watu kama maMC fulan kapost na labda wanafamilia.
 
Nirudi sasa kwnye kukuchana wewe , hebu fikiria, hapa tuu hunioni na wala hunijui , ila story zangu za Obay na ushuani zina kukera kupita kawaida , je ungenijua na ninakutanulia wakati wewe una saga jiwe, si ungeniua kabisa ?
Hilo ndio suala sasa , Vijana a Obay tulikua na ujiko sababu baba zetu waliku ana hadhi , ina wezekana mfukoni hatuna pesa , ila ile tittle ilikua sio ya mchezo, so mademu walikua na shobo na sisi , kumbuka enzi hizo haijalisi una hela mradi baba yako ni fulani na una endesha gari lake , hauna haja ya kuhonga sababu wote tulikua tuna date naa ,nao kwao wako vizuri , hivyo tulikua hatuna haja ya matanuzi ya pesa ni magari ya wazazi tuu .
Hivy mademu wa Upanga wali leta shobo , so ina semekana Vijana wa Upanga hawakupenda mademu zao na shobo zao kwetu , ndio waka attack him usiku wa kwnye hiyo party iliyo fanyika Upanga na kumuua , siamini kamwa lidhamiria kama ni wali mburuza maana story ni kwamba wali mburusa ipo pia ila kama wali mrusha badi wali dhamiria kumuua , sasa nadhani umeelewa .
 
Nikweli wote hao kina Diamond haya matanuzi ni promotins za makampuni wao wenyewe hawana pesa hiyo , na hawatumii hata centi .
 
Okay nilidhani ni kama Jamaa yangu tulisoma nae, kuna siku alituambia wana mfanyakazi mzungu (Sijui hio Work Permit ya kuja kufanya kazi za ndani alipewa na Nani)...

Anyway to each their own......
 
Sure classess zipo kila mahali duniani hata kwenye dini mtoto wa askofu mkuu au shekhe mkuu atakwa tofaut na wa vyeo vya chini kwenye hiyo dini
 
Umesahau ajali nyingine iliyo uwa pale kaunda yaani ile pickup double cabin ilijaa vijana wametoka disco upanga kukunja kulia kuingia kaunda walikunja kubwa wakapamia kisiki nje ya nyumba ya brig. Mkisi ule upande wa kushoto ukiingia kaunda, Mmoja au wawili walizimika palepale, ili pickup waliendesha watoto wa jaji, mi nilitokea muda mfupi baada ya ajali nikakuta kundi la vijana wamechanganyikiwa.
 
Ni kweli ila kuna wazee wengine na familia zao walitoka huko sahv ni choka sana,so sad
Wengine hawakujipanga.....

Ova
 
Dr Andrew wa asa Estate au

Ova
 
Hao wakina nandy na wengineo wanaishi tu kwa kujiumiza

Ova
 
Alafu isichukuliwe kuwa waliopata neema ya kuishi ushuani na baba zao waliokuwa na nafasi serikalini miaka hiyo kwamba sasa hivi life imewachapa; not at all na hata kama wapo basi ni wachache sana! Wengi bado maisha ni mazuri kabisa.
Mfano sisi hatukupata bahati ya kupelekwa UK or USA, ila ile exposure tu ya kuishi kwenye ile standard ya maisha ya ushuani inakuwa kama iliweka benchmark on how life should be! Sio sifa na isiwe siri, hapahapa TZ tuliweza kujua maisha yanapaswa kuwa namna gani and life is good tena pengine zaidi ya ilivyokuwa wazazi wetu. Mfano nakumbuka mzee wangu kwa nafasi yake he had 3 cars of his own, Peugeot 504, pick up ya Peugeot 404, na Ford CortinaL nakumbuka anaitumia Saturday na Sunday tu kwa mitoko binafsi! Gari za ofisini used to be Peugeot 505 ama Landrover 109 na hizo zina dereva!

Maisha ya sasa knowing standard inatakiwa kuwa namna gani, nje hayakosekani magari kwa namna yoyote na yawe ya standard flani sio tu chombo cha usafiri.

Angalizo: bitterness sio healthy u may end up injuring your internal organs.
 
Kama nakumbuka hiyo kitu ila nadhani hakuna aliye kufa, kwasababu nakumbuka kuna mshkaji mmoja alikua ana soma Tambaza, ana kaa mta wa Hill rod , nili kwenda kwao nikamkuta ana ma bandages na mapamba kabandikwa mwili wote akaniambia walipata ajali walikua kwenye pickp wanatoka nadhani sijui ilikua 7th flour kitu kama hicho , ila sikumbuki kama kuna kijana alifariki.
 
Hivi Max ndio kina Kafipa? Au namchanganya? Ila jina la mwisho Kafipa, either Max or Anthony jamani alikuwa akipita mtaa wa Ethiopia Crescent wasichana wanakimbia hatari maana mtaa ulikuwa na mabinti wazuri kweli.
max au mac tamka meki na antony wote ni kafipa, na wao walikuwa na dada matata sana
 
Natamani ni kurushie dola mia aisee , point kubwa sana
 
Ettiennes hakuna ghorofa la kurushwa mtu akafa.

Labda aliuliwa akatupwa hapo.

Nimecheza disco kwa Mgiriki hapo miaka 1970 - 73.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…