Vifo vya vijana hawa miaka 80 na early 90 huko ushuani, Oysterbay

Kwani hiyo hetel iko wapi labda nime changanya majina, ila nayo isema iko huku Town kama sijui maeneo ya Billicans or ile Margott maeneo hao, isije kuwa nime changanya naile ya kule Ocean Road pake jirani na petroil station kwa Manji seaview
Hiyo Ettiennes ukitokea junction ya Palm beach kama unaenda Aga khan hospital, kwanza utapita Sea View hotel halafu utaikuta Ettiennes, zote zipo kushoto.
 
Zamani sisi tulikuwa tuna minho na watoto wa kishuwa kutengeneza nao
Netwrk,ushkaji
We usiuliona zamani watu wanakuja pale donbosco kwenye ma event
Watu wanajichanga kwenye matamasha ya shule za mzizima na shaban Robert sjui ma food bazaar nk
Mara tumewnda tanesco kwenyw viwanja vya kikapu nk
Mara kuna sehemu wameendaa Beach party sjui bottle party watu mnajichanganya
Kids ndy watoto wa obay na regent wakawa wanakuja kujichanganya na watoto wa kinondoni...ila wakija kinondoni nao wanaangalia watu na maeneo

Ova
 
Ungejua kuwa anakutoa povu huyo ungempuuzia tu[emoji16][emoji16]
 
Bora ume admit possibly alikuwa targeted. Haya mambo wewe unayachukuliq kijuujuu tu. Umekuja na swali, halafu cha ajabu mahali umeishia kujijibu mwenyewe. Kunbe jibu ulikuwa nalo all along? Simply amazing.
Tatizo una maumivu kupita kaisi hata huoni ninacho andika, kila sehemu nime sema tetesi ( Allegedly) wapi nime jijibu , kabla huja panic kw akusoma comments za watoto wa kishua na kuumia hebu tulia kunywa maji mengi , vuta pumzi sahau machungu uliyo pitia kwa kuomba massage kw amkeo then ndio usome hizi comments la sivyouna weza patwa na hert attack bila sababu
 
Sure wengi wako tu vizuri, watoto wa kishua wengi wana confidence sana hata makazini wengi wanajua limit zao halaf hawana roho korosho ingawa wengine dah wana ukorofi! dah nakumbuka mitaa ya home kulikuwa na mshua alikuwa finance director wa shirika fulan la umma miaka hiyo. Yupo bado hai na yupo vizur tu. Mwanae wa 1 yupo US, wa pili alienda UK akawa mla unga mshua akamrudisha bongo akawa rehab muda kadhaa now yupo njema. Nakumbuka miaka hiyo watoto wa huyo mzee wanakuja kucheza na mipira mipyaaa wakati sie twachezea ya makaratasi! enzi hiyo wana baiskeli BMX tunacheza mpira huku mtoto mmoja wa kishua ana video camera anarekodi dah. Watoto wote wa hizo familia walienda shule nzuri vyuo mambelez wengine bongo na now wana maisha mazuri maana tayari wazaz walishaset standards so watoto wanataka waishi standard ya juu zaid! Kifupi ni mtu kufight kuwa kwenye class ya juu ili kizaz chako kiishi vizuri.
 
Mnapelekwa na Banzi na crew yaje ya Namanga.

Mnaenda kula ice cream Kimicho Namanga.

Na kuazima mikanda ya movies VHS Oysterbay Video Library.

Halafu mnaambiwa mkimaliza kuangalia tafadhali rewind [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ebwana Oysterbay Video Library ndio ilikua ule mtaa kwa balozi Hemed? aseee nilikua mdogo lakini ni ku mshobokea mmoja wa Binti yake , alikuaja olewa sijjui harusi ilifanyika kw akina afaraji au kuna harusi kw akina faraji yeye aka wa matroni , alikua mkubwa kwangu ila nilikua naenda pale ili tuu nimuone
 
Duh mtafute upashe kiporo homeboy [emoji1]

Ova
 
Idi Janguo katesa sana Don Bosco akipiga misele ya Audi na Toyota Hilux yao.

Don Bosco umenikumbusha kuna siku Masaba Makaninalipiga buzzer beater moja kali sana sekunde ya mwisho ya game, tukashuhudia mchezo mzuri sana tukaona kama NBA.

Zamani ilikuwa rahisi kujichanganya kwa sababu wote tulikuwa tunasoma shule zile zike, hususan za msingi.

Siku hizi naona matabaka yanazidi, kwa sababu watoto hawachanganyiki shuleni, wenye hela wanaenda private schools za bei mbaya wanatengeneza cliques zao huko, wasio na hela wanakwenda shule za serikali.
 

Video Library ilikuwa Namanga hapa.

Kuna binti mmoja kama Mzanzibari hivi alikuwa anakaa Uganda Ave, mrefu, mweupe. Anaitwa Hamida or Halima. Alikuwa anasoma Shaaban Robert.

Kina Santa walikuwa wanamshobokeaa.
 
NAKUAMBIAJE WAPO WATOTO WALIYOKUWA WAKISHUWA
NA MPAKA SAHVI WAKO LOWPROFILE
sasa mtu in the 80s anaenda maulaya mamarekani huko,haoni kitu kipya
Exposure ipo ya kutosha
Ila watoto wa sahv hawa wakipata kidogo basi vurugu nyingi
Alafu upepo unakata mapema

Ova
 
Hii comment imenichekesha sana [emoji1787]
 
Masaba yule alikuwa anapenda kuvaa pens na kapelo alikuwa mdau wa vijana basketball pale
Kujichanganya lazima watu tulijiunga scout nk
Hahah iddy,said walisumbuaa sana sema said sahv katulia tuliii
Nyie watoto wa upanga sasa wale wa upande wa Seaview na wa kule mitaa ya kina kibonde kidg mlikuwa tofauti

Ova
 
Lete madini Mkushi achana na hao wenye roho za kwanini naunganisha dots hpa
 
Mimi kiraka Upanga nipo, Oysterbay nipo.

Mpaka Misheni Kota napa claim [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna kitu ambacho sikielewi , kuna mademu walikua wakubwa sana kwangu mimi niko darasa la tatu wao wengine sekondar au darasa la saba huko ,ila nilikua na wapenda na nina wish eti wawe mademu zangu
Leo ngoja ni wataje my childhood crush ( Mnisamehe jamaa najua wengine nita vunja heshima ni wake za watu na tunaheshimiana kwa sasa )

Judy Temu
Masha Macatta
Goudencia Shigella
Annita Mzena
Anna Mbagga
Jamillah Hemed ( nadhani huy u ndio kwao kulikua na video store )
Tibu Mwandoro
Shaka Kirigini
Kisa Kilindu
Titi (sijui last name Alikua anaka Sea Vie )
Tamika Chikawe
Zuhura Kajembo
Husna Katunda
Erica Msangi
Khadija Faraji ( nisamehe dada ila ndio ujue, yani iki muona Michelle Obama na Singer Deseree namuona Khadija tuu )
Jueliet Ngodoki
Stellah Sebwache
Lucy Mality
Pandwe Kalala
Norah Manyama
Na wengine wengi nime sawahau kuwandika hapa , ila sijui nijiite ni malaya wa rohoni nilikuwa maana wote hao nilikua na wish wawe mademu zangu wakati ni wakubwa kwangu sana tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…