Vifo vya vijana hawa miaka 80 na early 90 huko ushuani, Oysterbay

Dont hate the player, Hate the Game
 
Akili kubwaz chief
 
Yaani acha tu, halafu ikiwa mida ya jioni au usiku, ikipita mitaa ile halafu unasikia mchiriku unapigwa naona sasa hivi nakabwa, enzi hizo wanakuvua hata jeans uliyovaa na raba kali wanachukua.
Siku ya kwanza kuona Mdundiko ni shuleni ilikua sherehe ya Mwenge , mwenge ulikuaja hapo shule Obay primary , so kukawa na mdundiko , kipindi hicho sasa kwetu haturuhusiwi hata ktembea mtaa wa pili , sasa ilivyo anza mdundko tunaaza ufuata , tuka zunguka nao , toka Obay shule, Bongoyo road , Slender bridge , tuka rudi leaders club, Namanga, Maanzazi road , hadi Obay shule tena, duh si kuna mnoko akaja nisemea home kwamba nili tembea kote huko kufuata mdundiko , acha ni pigwe bonge la mkwara home lol
 
Dah,

Jina la Nancy umenikumbusha Nancy Sayore na ice cream za Kimicho.

Siku moja Namanga nilikiwa namsalimia Nancy nampa pole kwa masahibu fulani yalimpata, wabongo walikuwa wanamsema sana. Nikawa nafurahia kumuona na kumpa moyo tu kama kaka rafiki mwenye bashasha, kwamba asijali maneno ya wabongo.

Ile naangalia pembeni hivi, naona Lt. Gen Gideon Sayore kakaa kwenye Nissan Patrol ananipiga jicho pembe anaangalia body language yangu kwa Nancy.

Nikasema utubora kitu muhimu sana, yani Mzee Sayore aliniona poa kwa sababu nilikuwa nacheka vizuri na Nancy. Pale kama ningekuwa namzodoa Nancy Lt. General Sayore angeshuka na kunibeba mzobemzobe mara moja!
 
mwanaume akiwa power ya kipato/nafasi mara nyingi ataingia mahusiano na mwanamke mzuri wa sura sasa automatically wakizaa mtoto wa kike ana possibilities nyingi za kuwa mzuri plus maisha bora automatically toto linakuwa zuriiiiiiiiiii
Hiyo kweli kabisa aisee
 
Dah! Nillikupita sana Forodhani Primary. Na mimi ilikuwa mwendo wa UDA ile stendi ya Posta upande wa pili enzi hizo hata daladala hamna ni UDA tupu daladala zilianza wakati nipo la 6 au 7. Mwalimu Manyama namkumbuka na Julius.
HUWEZI AMINI NLIPOKUWA NASOMA FORODHANI KTK MWAKA MZIMA NAWEZA PANDA UDA LABDA MARA CHACHE SANA, LIFT NYINGI NLIKUWA NAPEWA NA WATOTO WA KISHUWA TENA KWA MAKUBALIANO
YA WAZEE WAO...NIKISHUKA KITUO CHA MBUYUNI PALE AHH NAKANYAGA MPK HOME,SAA NYINGINE NLIKUWA NAPELEKWA MPK HOME [emoji1]
KUNA YULE MUUZA PIPI NJE YA GETI
FORODHANI UNAMKUMBKA,TULIKUWA TUNABUTUA SANA PIPI ZAKE WATU WANAGOMBANIA,ULE MSALA KNA SIKU AKAPELEKWA MWL JAMES AISE NLICHEZEA
UNAIKUMBUKA MIHOGO YA KULE BAHARINI...CHINI ILIKUWA INAUZWA
NLIKUWA NAWAKUSANYA WASHKJ WATOTO WA KISHUWA TUNAENDA KULA
HIVI MWL MBUYA YUKO HAI KWELI

NMEKUMBUKA MBALI SANA

Ova
 
Dah! Nillikupita sana Forodhani Primary. Na mimi ilikuwa mwendo wa UDA ile stendi ya Posta upande wa pili enzi hizo hata daladala hamna ni UDA tupu daladala zilianza wakati nipo la 6 au 7. Mwalimu Manyama namkumbuka na Julius.
Mwalm manyama yupo hazeeki aise
Yuko kwake mitaa ya Tunisia Road
(Leaders)
Tunawasiliana sana

Ova
 
Mkuu hata wewe unaruhusiwa kuanzisha thread kuhusu mtu yeyote au sehemu yoyote bila kutoa sababu yoyote.

Kwa sababu umependa tu kuanzisha topic hiyo.

Halafu watakaopenda wachangie, wasiopenda wasichangie.

Huhitaji sababu kuanzisha topic.

Why do you make it sound like people have to justify their threads?

Kuna watu wameanzisha thread za kula tunda kimasihara na zimevuma kutoka 2014 mpaka leo, thread inakaribia miaka 10.
 
au mzee Sayore alikuwa anakujua so akajua ah huyu ni mtoto wa mshua fulani ah hana sheeda huyu amekuzwa vyema tu!!
 
Dah mzee mimi nilisoma Forodhani miaka mingi kabla yako lakini kuna mambo fulani yaliendelea kama ile mihogo ya kuchoma baharini wakati wa break. Kutoka getini pekee yake ilikuwa shida. Halafu kuwahi darasani baada ya break nayo ilikuwa changamoto. Vyoo vya shule vilikuwa kama jehanamu. Mtu ulikuwa unajibana uende choo cha Cathedral.
 
Dah jamaa ana kinyongo fulani hivi🤣😂
 
Mkuu bigbup kwa kuwakilisha sehemu uliyotokea bila kuweka chuki kwa wengine.

Hata Mshana Jr nakumbuka alianzisha uzi wa mitaa ya Mwananyamala. Mimi nikawa msomaji tu kwa sababu uzoefu wangu mitaa hiyo ni mdogo.

Wala sikuusema vibaya uzi wa watu kufurahia kumbukumbu za kwao walipokulia.

Ndivyo inavyotakiwa hivyo.
 
mwanaume akiwa power ya kipato/nafasi mara nyingi ataingia mahusiano na mwanamke mzuri wa sura sasa automatically wakizaa mtoto wa kike ana possibilities nyingi za kuwa mzuri plus maisha bora automatically toto linakuwa zuriiiiiiiiiii
Hao wengi walikua wamenawiri tu huenda si Waziri,jitu hata likiwa baya lakini likinawiri unaliona zuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…