Vifo vya vijana hawa miaka 80 na early 90 huko ushuani, Oysterbay

Huyo LemuTuz kaja julikana juzijuzi hatukukua naye kabisa wala tulikua hatumjui , hakuwa miongozi mwa zile circles ,Ippy ndio alikua .
Mtoto wa mchepuko siku zote hana haki, anafichwa fichwa kama vidonge vya ARV'S , alisimulia historia yake kuisoma nililia as if ni ndugu yangu hakuwahi ku enjoy kiwa mtoto wa mzee Malecela wakati akiwa mdogo. Na ni mtoto anaemfanana mzee Malecela kuliko watoto wake wote.

Dah haya maisha mtu anazaliwa anakutana na majanga ya duniani as if alituma maombi kuzaliwa dah.
 
Ettiennes hakuna ghorofa la kurushwa mtu akafa.

Labda aliuliwa akatupwa hapo.

Nimecheza disco kwa Mgiriki hapo miaka 1970 - 73.
Unajua mtu anaweza kuanguka kutoka akiwa amesimama (his own Height) na akafa ?

Au unazungumzia nini ?!! ; Kwa ujuzi wako at what Height falling can cause Death ?, Na hapo nasema falling sijaongelea kurushwa sababu akirushwa hata mija mota tu ile force inaweza ikasababisha Kifo...
 
Si unajua mkuu nikishapiga vyombo vyangu I become more like a loose canon. Mnisamehe.
 
Dah,

Ndiyo naamka hapa unanitia uroho tu.

Umenikumbusha kuku wa Sea Cliff.
 
Unakumbuka pia kwa Mkuu wa Magereza, palitokea pilika za kupigana risasi kati ya kijana wa pale na dada mmoja waliokuwa sijui ndugu wa karibu au dada alilelewa tokea mdogo na familia yao, kijana alikuwa anampenda waowane lakini yule dada anamkatalia kwa kuwa alikuwa anamuona kama kaka yake, kijana akamplipua na kujilipua yeye, nasikia sijui yule dada alipona ila kijana aliondoka.
 
K-Lynn alikuwa anawawekea mitego washua wenye pesa tangu Forodhani.

Alikuwa anasema kabisa lazima ampate mdingi mmoja mwenye pesa kubwa ammiliki.

Naona ndoto zake zimetimia.
 
Sahihi
 
Kumbe umeshazeeka? Shikamoo mzee!
 
Bravo[emoji106][emoji106][emoji106]
 
Mm Bado nilikuwa Kazuramimba nachoma tofali
 
Rob Byabato alikua akiishi Mzinga way na Mossy Kipokola alikua akiishi jirani na hill road kule. Mossy alisoma IST ila hao mademu wa kiganda siwakumbuki, namkumbuka kijana moja akiitwa Dick Tembo, huyu alikua ni mzambia na alikua akitesa sana na 504 yenye namba za ubalozi wa Zambia, miaka ile waliishi masaki mwisho jirani na uwanja wa basket. Huko pia tuli hangout sana kuvizia mademu. [emoji3][emoji3]
 
You are a humble man dude
 
kuna mshkaji alikua anasoma Tambaza, alikua tall sana na alikua akicheza basket ball, walikua wanaishi Masaki, alikua anaitwa Magilani Mollel. sio huyo?
 
Rizi mngemjua tu mpaka muandiko wake una kithembe!

By the way, Kikwete hajawahi kukaa Oysterbay kama kumbukumbu zangu ziko sawa.

Kikwete alikuwa anakaa mikocheni karibu na TIps.

Kina rizwan wamekulia mikocheni. Hawajawai kukaa oysterbay
 
Dah umetisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…