Vifo vya vijana hawa miaka 80 na early 90 huko ushuani, Oysterbay

Mkuu una roho ya dhahabu Mungu akuzidishie Mimi binafsi nalibeba hili.
 
Mleta mada sifa yako kuu niliyoigundua kwenye mabandiko yako ni kwamba huna hasira za haraka wala jaziba.
Bravo!
 
Mkuu una roho ya dhahabu Mungu akuzidishie Mimi binafsi nalibeba hili.
Fanya hii kitu utakuja kunikumbuka, na kwa mtu mwenye mzunguko mzuri wa pesa Kujenga swimming pool kubwa si gharama kubwa sana, pub ya kijanja unapata designer mzuri anakufanyiwa design ya kijanja anakutolea 3D image.

Kuna kitu Wabongo hatujakipa kipaumbele ni michezo ya Watoto, ndio sababu siku za sikukuu watu wanajazana beach hawana pa kwenda, sasa hizi huduma ukiwasogezea kwenye Kata zao utapiga pesa mpaka utashangaa, na kiingilio unaweka bei ya kawaida tu lakini wanaingia watu wengi.

Kuna kipindi Joto la Dar likipamba moto watu watakuwa wanashinda kwenye kiota chako.

Kuna pesa nyingine hapo unapiga kukodisha swimming dress za kike na za kiume buku mbili mbili tu, hapo napo pana pesa ya ajabu.
 
Ahahah, Dah! Hao huyo Judy namjua yupo hadi leo siku hizi yupo Mwenge hata juzi nilionana nae hapo Mwenge

Nadhani unazungumzia familia ya Galinoma sio?
 
Ahahah, Dah! Hao huyo Judy namjua yupo hadi leo siku hizi yupo Mwenge hata juzi nilionana nae hapo Mwenge

Nadhani unazungumzia familia ya Galinoma sio?
Ebwana itabidi unipe contact zake, nmetafute , sio kimapenzi ila tuu ni mjulie hali kama mwana Obay mwenzangu lol. nimefurahi sana kusikia yuko salama . ukionana naye msalimie sana mwambia kuna katoto kalikua kanakupenda sana zamani hahahahaha
 
Mungu akuzidishie Sana.
 
Shikamoo kaka[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Sijaona mnawazungumzia watoto wa Benjamin Mkapa au hawakuwa sehemu ya wana osterbay miaka hiyo?.
Hao jamaa walikaa US zamani na walipo rudi wakaa kaa Upanga , hivyo hatukuwa nao pamoja , na kipindi hicho ukiwa waziri sio big deal kivilee so , wao sijui walikua wana hang out wapi, ila nadhani walikua ni wa toto wa Upaga, ,iaka unavyo jua watoto wa Upanga na wa Obay ulikua kama hauchnganyuki ni wachache sana tulikuwa tuna changanyika nao labda kina Baraka Shelukindo (Na party zake) kina Mao Lwangisa , haya kina Joseph KUsanga hatuku hang nao ,Sisi tuli wamind mademu zao na sisters zao , hahahahaha alikua wana hasira na sisi kinoma . lol
 
Ebwana itabidi unipe contact zake, nmetafute , sio kimapenzi ila tuu ni mjulie hali kama mwana Obay mwenzangu lol. nimefurahi sana kusikia yuko salama . ukionana naye msalimie sana mwambia kuna katoto kalikua kanakupenda sana zamani hahahahaha
Halafu huyo Mapinduzi alishafariki mkuu, tena kitambo kidogo, alifariki 2007 kama sio 2008

Nadhani ni huyo unayemzungumzia, kama ni yeye basi ndio hivyo mwamba alisha rest in peace

Alimuoa Shangazi yangu, alikuwa na roho nzuri sana, kipindi hicho mimi mdogo nilikuwa nakaa na Shangazi yangu nilikuwa najiuliza mwamba kwani anafanya kazi gani? Maana alikuwa anabadilisha mandinga sio mchezo, Leo akirudi na Gari na kesho atarudi na lingine
 

Hao watoto walikua wakali kinoma , Halima na mdogo wake Hamida, last time niliona kama Hamida kaolewa ni GA or FL , Lulu demu mmoja poa sana asiee, naona aliolewa na Mwarabu wa Qatar . wanaishi Qutar now
 
Yes , ni huyo alikua Magereza, Mama Mwanguku alikua pia mwalimu wetu , nilikutana naye siku fulani miaka ya nyuma alikua hajazeka ana fanana vile vile , ila bahati mbaya nasikai alifariki kama miaka miwili iliyo pita .
 
Dah aisiee nime umia sana , siku wa nataka kuamini alifariki sababu niliwahi sikia na nikadhani ni sio habari sahihi so nilikua nina hope bado yuko hai, alikua rafiki yangu mkubwa sana primary school , tukaja potezana , sikuwahi msikia tena mpaka nilipo mtafuta ndio nikapata habari kafariki ila habari zilikua hazina uhakika dah ,asante kwa taarifa , R.I.P. my dear friend Mapinduzi.
 
✍️🤝🙏👏👊💪👊👍
 
Aisee umenikumbusha sana , kipindi hicho nilikua hata sijui wazee wana fanya kazi gani hapa ndio nina shangaa kumbe waze walikua na nafasi hizo , hata Mzee wangu ilikua late sana kuja kujua ana fanya kazi gani , sijui kwanini nilikua sina time ya kujua hilo.
KIna Saraita demu pekee alikua ana drive magari ya maana. Hapo jirani na kwa Sapi kulikua na mshkaji wangu moja nime msahau jina , alikua mshkaji wangu sana , halafu kwao kulikua na Tausi wengi sana ( Eneo hilo pia Tausi ako sana sijui sababu ya Ikulu ya pale Mwinyi na kwa Sapi ) , yule jamaa nasikia walihama hapo kuhamia mkoa , kitu kama hiccho , una weza mtambua aliitwa nani ?
Lete hiyo story ya demu wa Ki Indonesia , hatuta sema , tuta tunza siri .lol
 
Ndugu zake ambao nawafahamu ambao wapo hai hadi Leo, ni huyo sister yao Juddy, Rose, Vicky na kaka zao wengine sijajui vizuri

Mama yao ndio anakaa hapo Mwenge hata juzi Jumamosi nilipita kuwasalimia

Halafu Mapinduzi alifariki kama utani, alitoka tu kwenye sherehe jioni akarudi nyumbani bahati mbaya mke wake ambaye ni Shangazi yangu alikuwa hayupo, so nyumbani alikuwa Dada wa kazi tu

Sasa alivyorudi home baada ya muda kidogo akaanza kukohoa Damu, hali ilivyozidi kuwa mbaya Dada wa kazi akachukua simu na kuwapigia ndugu zake, kaka zake wakafika na kumuwahisha hospitalini, Kwa bahati mbaya mgonjwa akakata moto njiani[emoji22]

Kifo chake nae kilikuwa Cha kutatanisha sijui hata alikula nini, maana ilikuwa ghafla Yani katoka kuongea na mkewe muda sio mrefu Dakika tano nyingi tunaambiwa mtu kafariki
 
Dah masikitiko makubwa aisee ,ghafla namna hiyo , dah , Mungu Maeke Mahali pema peponi Amen.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…