Vifo vya vijana hawa miaka 80 na early 90 huko ushuani, Oysterbay

Vifo vya vijana hawa miaka 80 na early 90 huko ushuani, Oysterbay

Watu wa kijenge juu na kimandolu naenda kuanzisha uzi wa akina Tumbonij, Safarii na Nyokaa… mje kuchangia [emoji16][emoji16]
Mkuu, tafadhali anzisha, halafu ukianzisha naomba uni tag.

Hata wa Oysterbay wengi tusipochangia, kwa sababu hatukuwa Kijenge, tutapata kujifunza maisha ya Kijenge yalikuwa vipi.

Machizi na machalii walikuwa na visa gani.

Na siku tukitembelea Kijenge, tunaweza kuwa tumejua mengi tayari.

Na pia unaweza kukuta kuna rafiki zetu watoto wa Kimario ambao walikaa Oysterbay na Kijenge wanapajua pia.

"Sote ni ndugu, watoto wa baba mmoja"
- Innocent Galinoma
 
kuna mshkaji alikua anasoma Tambaza, alikua tall sana na alikua akicheza basket ball, walikua wanaishi Masaki, alikua anaitwa Magilani Mollel. sio huyo?
Hapana sio huyo ,Magilan alifariki , alikuja US holiday toka UK , siku ana rudi UK enzi hizo ukipiga picha bado una safisha so akaenda chukua picha zake , wakati ana vuka barabara akagongwa na gari , akaka ICU kama siku chake ikabidi wazime mashne sababu brain injury haukuweza kuwa reversable , so alifariki. nakumbuka ilikua kama 2002
 
Unakumbuka pia kwa Mkuu wa Magereza, palitokea pilika za kupigana risasi kati ya kijana wa pale na dada mmoja waliokuwa sijui ndugu wa karibu au dada alilelewa tokea mdogo na familia yao, kijana alikuwa anampenda waowane lakini yule dada anamkatalia kwa kuwa alikuwa anamuona kama kaka yake, kijana akamplipua na kujilipua yeye, nasikia sijui yule dada alipona ila kijana aliondoka.
Duh ile ilikuwa soo kubwa, jamaa sijui alikua anakula mzigo, demu akaja toa nje, ndio aka mshoot nayeye aka jishoot , yes yule dada alipona dah
 
Mtoto wa mchepuko siku zote hana haki, anafichwa fichwa kama vidonge vya ARV'S , alisimulia historia yake kuisoma nililia as if ni ndugu yangu hakuwahi ku enjoy kiwa mtoto wa mzee Malecela wakati akiwa mdogo. Na ni mtoto anaemfanana mzee Malecela kuliko watoto wake wote.

Dah haya maisha mtu anazaliwa anakutana na majanga ya duniani as if alituma maombi kuzaliwa dah.
duh ndio maana tulikuwa hatumjui huyo, wale wengine ndio tulikua tuna wafahamu zaidi
 
Rob Byabato alikua akiishi Mzinga way na Mossy Kipokola alikua akiishi jirani na hill road kule. Mossy alisoma IST ila hao mademu wa kiganda siwakumbuki, namkumbuka kijana moja akiitwa Dick Tembo, huyu alikua ni mzambia na alikua akitesa sana na 504 yenye namba za ubalozi wa Zambia, miaka ile waliishi masaki mwisho jirani na uwanja wa basket. Huko pia tuli hangout sana kuvizia mademu. [emoji3][emoji3]
Rob kipindi hicho wame hamia kule Kino , nyuma ya Morocco , kama kawaida party ziliendelea hapo kwao , , huyu jamaa Tembo na dhani alikua na Sister wake anaitwa Misozi , hahah basi nakujau wewe itakua , nilikua na kuja hapo Masaki mwisho , uwanja wa basket kama kawaida nilikua na fancy mademu wakubwa kwangu nilikua na msarandia Christine Kassambala , , ila kwa kumtamani tuu kumwambia siwezi .
 
K-Lynn alikuwa anawawekea mitego washua wenye pesa tangu Forodhani.

Alikuwa anasema kabisa lazima ampate mdingi mmoja mwenye pesa kubwa ammiliki.

Naona ndoto zake zimetimia.
Lol si mchezo , nakumbuka yule Uncle na Nissan Parol Nyekundu lol
 
Duh ile ilikuwa soo kubwa, jamaa sijui alikua anakula mzigo, demu akaja toa nje, ndio aka mshoot nayeye aka jishoot , yes yule dada alipona dah
Hii ilikuwa kwa Mwanguku (mkuu wa magereza) right?

Wale kwao hapa karibu na Morogoro Stores, gardens zao zilikuwa tended na wafungwa siku zote tu.

Halafu nimewakuta gardeners wa kutoka jela kwa former Prime Minister Warioba tena, nikajua kumbe wale gardeners waliosemwa kwenye package ya viongozi wa taifa ni wa kutoka magereza.

Lakini wale wafungwa waliokuwa wanaangalia bustani kwa Warioba walikuwa wanapata good time sana.
 
Lol si mchezo , nakumbuka yule Uncle na Nissan Parol Nyekundu lol
Hatari.

Let me remember all the girls. The streets, the homies, the stories. From my times.

Kuna dada mmoja alikuwa anakaa karibu na lighthouse kule Toure Drive, kwa Jaji Nyalali, alisumbua sana.

Tulikuwa tunakwenda karibu na club ya Wamarekani walikuwa wanakwenda sana kuangalia movies.

Kuna siku nyumba yao ilipigwa na radi, I wonder if it was because of the lighthouse.

I think it was Lulu.

Nilikuwa naenda na mshua nilikuwa mdogo sana. Mshua alikuwa anakaa na Judge Bomani, Judge Nyalali na washua wengine wanakata issues ambazo mimi hata sizielewi wakati huo.

Halafu kulikuwa na Mary Mosha hapa karibu na ubalozi wa Marekani wa Laibon. Alikuwa anasoma Forodhani. Baba yake alikuwa DG wa TANESCO, Mzee Mosha akaamua kuhama pale kwa sababu alisema ubalozi wa Marekani ulikuwa unawaangalia mpaka ndani.

Halafu kulikuwa na the Abebe sisters, Salaita na yule mwingine mdogo wake nafikiri yupo Las Vegas siku hizi. Anaitwa Maisara.

Halafu down the road Laibon kulikuwa na Arthur Lema na mdogo wake Brenda, baba yao likuwa DG breweries. Brenda was hot, but she was like a little sister to me.

Baba yao alivyotoka Breweries alienda kufanya kazi Nairobi for six month akarudi na a flashy red car. Akaenda kuwa DG wa Tanganyika Packers.

Arthur alipelekwa shule Ireland akanywa school fees zote, baba yake akampeleka Los Angeles California. Akasoma akarudi Tanzania kuendeleza mashamba yao.

Ule mtaa wa Laibon kulikuwa kuna nyumba ya Mwinyi, basi siku nyingine tukitoka shule tunakaa kuna kijiwe kona ya Kaunda, tunauona msafara wa Mwinyi anarudi nyumbani, anatupungia mkono.Mwinyi was cool to the kids on the corner.

Siku nyingine Mzee Mwinyi anaalika jirani kwenda kucheza naye bao, kuna mzee mmoja alikuwa anakaa nyuma ya nyumba yake alikuwa CEO wa NBC, karibu na kwa Speaker Adam Sapi Mkwawa, mtoto wake alikuwa rafiki yangu, walikuwa wanaitwa sana kwa Mwinyi kula kashata na kunywa kahawa.

Kuna siku Salama Mwinyi alikuwa ananiringishia sarafu mpya ina picha ya baba yake, nikapiga kofi, a message kwamba I don't care that your father is the president. Akataka kwenda kunisemea, lakini rafiki yake akamwambia huyo Kiranga ni kichaa, ukimsemea ndiyo utazidisha ugomvi. That is how I got away with slapping the president's daughter in the face. I am not proud of that, especially since my philosophy of not hitting women now.

Siku moja nikaamua kuwachemsha tu ubalozi wa Marekani. Nilitaka tu kuingia ubalozi wa Marekani na kuwauliza maswali.

Nikaingia. Kufika getini, yule Marine akaniomba ID, nilikuwa na wallet ina picha ya paka. Akaiangalia, akasema huyu ni paka wako? Nikasema ndiyo. Akafurahi sana. Apparently he was a cat person. Huyo paka hata hakuwa paka wangu, it was a stock photo.

Nilikuwa na documebts za watu wa kampuni za Marekani wanataka watu kutoka nchi za nje waende kufanya kazi Marekani. Nikawa nawaluliza wale watu wa Ubalozi, hawa Wamarekani tutawajuaje kama ni watu genuine au matapeli? Yule Consular wa Ublozi wa Marekani hakuwa na jibu. Kwanza aliniangalia kama haamini nauliza swali lile, inaonekana alikuw ahajapata kuulizwa swali lile na hakuelewa kama nimetumwa na serikali au vipi. Akaniambia atanipa mtu wa kunisaidia. Yule mtu alinizungusha ule ubalozi wa Marekani Laibon mpaka nikajua huyu ananizungusha makusudi nisijue ramani ya jengo. Mwisho wakanifikisha kwa mtu aliyeniambia kwamba Ubalozi wa Marekani Tanzania ni mdogo sana na hauna labor attache, kwa maswali yangu walihitaji nipate majibu kutoka kwa labor attache wa ubalozi wa Marekani Nairobi Kenya, nikapata mambo mengine nikaacha kufuatilia.

Mtaa huo pia walikuwa wanakaa kina Said, Idi, na wakina Janguo wengine.

Idi alikuwa na shobo sana, lakini siku moja alinionesha a very human side of him. Deereva wetu alikuja kunichukua shule, Muhimbili Primary (nilianza Muhimbili kwa sababu ya kukaa Upanga) halafu darasani mwalimu alikuwa katuchelewesha kutoka, yule derava hakujua la kufanya, Idi akajipa jukumu la kuja darasani na kumwambia mwalimu kwamba kuna dereva ananisubiri ameshangaa hatujaachiwa kuondoka darasani, mwalimu akaturuhusu kutoka, kutoka siku hiyo Idi Janguo akawa rafiki yangu.

Mtaa huo wa Laibon nakumbuka kina Chambi Chachage, kina Humphrey Mbise, Salama Mwinyi alikuwa anakuja kwenye nyumba yao ya Laibon siku moja moja, lakini mara nyingi akikaa Ikulu.

Siku moja natoka shule nikakutana na Salim Ahmed Salim akitembea kufanya mazoezi, alikuwa na bodyguars wake wachache tu, akatupa hi kawaida tu..

Kuna binti mmoja wa Adel, I forgot her first name, alikuwa anasoma Jangwani, baba yake alikuwa Permanent Secretary kwenye one of the key ministries, nilikuwa naongea naye sana kwenye simu halafu hanijui mimi ni nani.

Kuna siku tumeenda Ubalozi wa Indonesia kwenye party, kule Coco Beach, nikatokea naongea na mtoto wa balozi anataka sana kujua Kiswahili, alikuwa anasema anataka sana kujifunza Kiswahili, kinafanana sana na lugha yao, kilichofuata hapo sitaki kuhadithia.

Those were the days.
 
Hatari.

Let me remember all the girls. The streets, the homies, the stories. From my times.

Kuna dada mmoja alikuwa anakaa karibu na lighthouse kule Toure Drive, kwa Jaji Nyalali, alisumbua sana.

Tulikuwa tunakwenda karibu na club ya Wamarekani walikuwa wanakwenda sana kuangalia movies.

Kuna siku nyumba yao ilipigwa na radi, I wonder if it was because of the lighthouse.

I think it was Lulu.

Nilikuwa naenda na mshua nilikuwa mdogo sana. Mshua alikuwa anakaa na Judge Bomani, Judge Nyalali na washua wengine wanakata issues amabazo mimi hata sizielewi wakati huo.

Halafu kulikuwa na Mary Mosha hapa karibu na ubalozi wa Marekani wa Laibon. Alikuwa anasoma Forodhani. Baba yake alikuwa DG wa TANESCO, Mzee Mosha akaamua kuhama pale kwa sababu alisema ubalozi wa Marekani ulikuwa unawaangalia mpaka ndani.

Halafu kulikuwa na the Abebe sisters, Salaita na yule mwingine mdogo wake nafikiri yupo Las Vegas siku hizi. Anaitwa Maisara.

Halafu down the road Laibon kulikuwa na Arthur Lema na mdogo wake Brenda, baba yao likuwa DG breweries. Brenda was hot, but she was like a little sister to me.

Baba yao alivyotoka Breweries aienda kufanya kazi Nairobi for six month akarudi na a flashy red car. Akaenda kuwa DG wa Tanganyika Packers.

Arthur alipelekwa shule Ireland akanywa school fees zote, baba yake akampeleka Los Angeles California. Akasoma akarudi Tanzania kuendeleza mashamba yao.

Ule mtaa wa Laibon kulikuwa kuna nyumba ya Mwinyi, basi siku nyingine tukitoka shule tunakaa kuna kijiwe kona ya Kaunda, tunauona msafara wa Mwinyi anarudi nyumbani, anatupungia mkono.Mwinyi was cool to the kids on the corner.

Siku nyingine Mzee Mwinyi anaalika jirani kwenda kucheza naye bao, kuna mzee mmoja alikuwa anakaa nyuma ya nyumba yake alikuwa CEO wa NBC, karibu na kwa Speaker Adam Sapi, mtoto wake alikuwa rafiki yangu, walikuwa wanaitwa sana kwa Mwinyi kula kashata na kunywa kahawa.

Kuna siku Salama alikuwa ananiringishia sarafu mpya ina picha ya baba yake, nimapiga kofi, a message kwamba I don't care that your father is the president. Akataka kwenda kunisemea, lakini rafiki yake akamwambia huyo Kiranga ni kichaa, ukimsemea ndiyo utazidisha ugomvi. That is how I got away with slapping the president's daughter in the face. I am not proud of that, especially since my philosophy of not hitting women now.

Siku moja nikaamua kuwachemsha tu ubalozi wa Marekani. Nilitaka tu kuingia ubalozi wa Marekani na kuwauliza maswali.

Nikaingia. Kufika getini, yule Marine akaniomba ID, nilikuwa na wallet ina picha ya paka. Akaiangalia, akasema huyu ni paka wako? Nikasema ndiyo. Akafurahi sana. Apparently he was a cat person. Huyo paka hata hakuwa paka wangu, it was a stock photo.

Nilikuwa na documebts za watu wa kampuni za Marekani wanataka watu kutoka nchi za nje waende kufanya kazi Marekani. Nikawa nawaluliza wale watu wa Ubalozi, hawa Wamarekani tutawajuaje kama ni watu genuine au matapeli? Yule Consular wa Ublozi wa Marekani hakuwa na jibu. Kwanza aliniangalia kama haamini nauliza swali lile, inaonekana alikuw ahajapata kuulizwa swali lile na hakuelewa kama nimetumwa na serikali au vipi. Akaniambia atanipa mtu wa kunisaidia. Yule mtu alinizungusha ule ubalozi wa Marekani Laibon mpaka nikajua huyu ananizungusha makusudi nisijue ramani ya jengo. Mwisho wakanifikisha kwa mtu aliyeniambia kwamba Ubalozi wa Marekani Tanzania ni mdogo sana na hauna labor attache, kwa maswali yangu walihitaji nipate majibu kutoka kwa labor attache wa ubalozi wa Marekani Nairobi Kenya, nikapata mambo mengine nikaacha kufuatilia.

Mtaa huo pia walikuwa wanakaa kina Said, Idi, na wakina Janguo wengine.

Idi alikuwa na shobo sana, lakini siku moja alinionesha a very human side of him. Deereva wetu alikuja kunichukua shule, Muhimbili Primary (nilianza Muhimbili kwa sababu ya kukaa Upanga) halafu darasani mwalimu alikuwa katuchelewesha kutoka, yule derava hakujua la kufanya, Idi akajipa jukumu la kuja darasani na kumwambia mwalimu kwamba kuna dereva ananisubiri ameshangaa hatujaachiwa kuondoka darasani, mwalimu akaturuhusu kutoka, kutoka siku hiyo Idi Janguo akawa rafiki yangu.

Mtaa huo wa Laibon nakumbuka kina Chambi Chachage, kina Humphrey Mbise, Salama Mwinyi alikuwa anakuja kwenye nyumba yao ya Laibon siku moja moja, lakini mara nyingi akikaa Ikulu.

Siku moja natoka shule nikakutana na Salim Ahmed Salim akitembea kufanya mazoezi, alikuwa na bodyguars wake wachache tu, akatupa hi kawaida tu..

Kuna binti mmoja wa Adel, I forgot her first name, alikuwa anasoma Jangwani, baba yake alikuwa Permanent Secretary kwenye one of the key ministries, nilikuwa naongea naye sana kwenye simu halafu hanijui mimi ni nani.

Kuna siku tumeenda Ubalozi wa Indonesia kwenye party, kule Coco Beach, nikatokea naongea na mtoto wa balozi anataka sana kujua Kiswahili, alikuwa anasema anataka sana kujifunza Kiswahili, kinafanana sana na lugha yao, kilichofuata hapo sitaki kuhadithia.

Those were the days.
1. Lulu Nyalali? 😀 Kama ndo yeye basi daah ngoja nikae kimya….

2. Idi alikuja kukuchukua shuleni bado ukiwa shule ya msingi Muhimbili?

Basi we utakuwa dogo sana 🤣

Nina washikaji kibao walisoma Muhimbili. Shit….I even had totoz who went there….lemme remember…..Neema….Prunella….Leyla….

My hommie Nkuruvi went there too…..you know him?
 
Yeah, Lulu was a crush of mine, the very early years, tell me more.

Hapana, Idi hakuja kunichukua, dereva wetu alikuja kunichukua, mwalimu Ndosi alikuwa katuchelewesha kutuachia darasani, Idi na kiherehere chake akamfuata dereva wetu kujua anamsubiri nani, akaja darasani kwetu na kumuambia mwalimu Ndosi kuna watoto wanasubiriwa na madereva hapo nje. I thought that was so personable, from then, nobody could talk bad about Idi in my books.

Nkuruvi kuna dada anaitwa Mwanaidi I went there with.

Watu wanataka kujua stories za Magilani na food evenings za watoto wa kishua.

Kuna dada alikuwa anaitwa Halima, Mzanzibari, alikuwa anakaa Uganda Avenue Oysterbay, opposite na kwa Balozi Fulgence M. Kazaura aliyekuwa Chancellor wa UDSM, alisoma SR. Alikuwa anakaa next to balozi wa Zimbabwe.

Alitesa sana vijana siku hizo. Kina Santa na Mwita walikuwa shingo feni kila akitembea kama model mtaani.
 
Mzee Mrangi mimi kilichonileta Dar ilikuwa chuo mwaka 2006 vinginevyo ningekuwa nakuja na fuso za ndizi tu.. hata huko ushuani nilipajua mapema kwasababu nilienda HESLB pale Tirdo kufuatilia mambo ya mikopo. Ila nilibahatika kufahamiana na binti wa Kitwanga... sasa hivi ni mtu mzito BOT kiasi kwamba kuonana naye ni ngumu. Mdogo wake Kitwanga alikuwa school mate. Nakumbuka familia za Kitwanga na Magufuli zilikuwa kitu kimoja. Mtoto wa Kitwanga au Magu angeweza kulala popote kati ya nyumba hizo mbili.
Kumbe mpaka familia ya JPM ilikuwa na family friends?
 
Back
Top Bottom