Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, tafadhali anzisha, halafu ukianzisha naomba uni tag.Watu wa kijenge juu na kimandolu naenda kuanzisha uzi wa akina Tumbonij, Safarii na Nyokaa… mje kuchangia [emoji16][emoji16]
Mtu analewa anarusha chupa juu. Mm mwenyewe bora nikale yai moja la kukaangaa na kisosi cha mchicha Hotel ya maana.Mazungumzo ya faragha
Watu mnakaa mnasikilizana
Syo unakaa sehemu sjui kuna mtu
Anacheza juu ya meza singeli
Yaani vurugu
Ova
Hapana sio huyo ,Magilan alifariki , alikuja US holiday toka UK , siku ana rudi UK enzi hizo ukipiga picha bado una safisha so akaenda chukua picha zake , wakati ana vuka barabara akagongwa na gari , akaka ICU kama siku chake ikabidi wazime mashne sababu brain injury haukuweza kuwa reversable , so alifariki. nakumbuka ilikua kama 2002kuna mshkaji alikua anasoma Tambaza, alikua tall sana na alikua akicheza basket ball, walikua wanaishi Masaki, alikua anaitwa Magilani Mollel. sio huyo?
Duh ile ilikuwa soo kubwa, jamaa sijui alikua anakula mzigo, demu akaja toa nje, ndio aka mshoot nayeye aka jishoot , yes yule dada alipona dahUnakumbuka pia kwa Mkuu wa Magereza, palitokea pilika za kupigana risasi kati ya kijana wa pale na dada mmoja waliokuwa sijui ndugu wa karibu au dada alilelewa tokea mdogo na familia yao, kijana alikuwa anampenda waowane lakini yule dada anamkatalia kwa kuwa alikuwa anamuona kama kaka yake, kijana akamplipua na kujilipua yeye, nasikia sijui yule dada alipona ila kijana aliondoka.
duh, umenikumbusha sijui wanaitwa Brazilian Chicken wako vizuri sanaDah,
Ndiyo naamka hapa unanitia uroho tu.
Umenikumbusha kuku wa Sea Cliff.
duh ndio maana tulikuwa hatumjui huyo, wale wengine ndio tulikua tuna wafahamu zaidiMtoto wa mchepuko siku zote hana haki, anafichwa fichwa kama vidonge vya ARV'S , alisimulia historia yake kuisoma nililia as if ni ndugu yangu hakuwahi ku enjoy kiwa mtoto wa mzee Malecela wakati akiwa mdogo. Na ni mtoto anaemfanana mzee Malecela kuliko watoto wake wote.
Dah haya maisha mtu anazaliwa anakutana na majanga ya duniani as if alituma maombi kuzaliwa dah.
In the 80's niko primary school unategemea bado ni in my 20's?Kumbe umeshazeeka? Shikamoo mzee!
Rob kipindi hicho wame hamia kule Kino , nyuma ya Morocco , kama kawaida party ziliendelea hapo kwao , , huyu jamaa Tembo na dhani alikua na Sister wake anaitwa Misozi , hahah basi nakujau wewe itakua , nilikua na kuja hapo Masaki mwisho , uwanja wa basket kama kawaida nilikua na fancy mademu wakubwa kwangu nilikua na msarandia Christine Kassambala , , ila kwa kumtamani tuu kumwambia siwezi .Rob Byabato alikua akiishi Mzinga way na Mossy Kipokola alikua akiishi jirani na hill road kule. Mossy alisoma IST ila hao mademu wa kiganda siwakumbuki, namkumbuka kijana moja akiitwa Dick Tembo, huyu alikua ni mzambia na alikua akitesa sana na 504 yenye namba za ubalozi wa Zambia, miaka ile waliishi masaki mwisho jirani na uwanja wa basket. Huko pia tuli hangout sana kuvizia mademu. [emoji3][emoji3]
Hahahahahahaha, nafasi hakuna ambaye angeikataa aisee hahahaUpo sahihi. Hata ningekuwa miye ningetanua tu. We live once
Lol si mchezo , nakumbuka yule Uncle na Nissan Parol Nyekundu lolK-Lynn alikuwa anawawekea mitego washua wenye pesa tangu Forodhani.
Alikuwa anasema kabisa lazima ampate mdingi mmoja mwenye pesa kubwa ammiliki.
Naona ndoto zake zimetimia.
Hapna navuta hewa moja na Kamala Harris.Mkuu unaishi TZ?
Hii ilikuwa kwa Mwanguku (mkuu wa magereza) right?Duh ile ilikuwa soo kubwa, jamaa sijui alikua anakula mzigo, demu akaja toa nje, ndio aka mshoot nayeye aka jishoot , yes yule dada alipona dah
Hatari.Lol si mchezo , nakumbuka yule Uncle na Nissan Parol Nyekundu lol
1. Lulu Nyalali? 😀 Kama ndo yeye basi daah ngoja nikae kimya….Hatari.
Let me remember all the girls. The streets, the homies, the stories. From my times.
Kuna dada mmoja alikuwa anakaa karibu na lighthouse kule Toure Drive, kwa Jaji Nyalali, alisumbua sana.
Tulikuwa tunakwenda karibu na club ya Wamarekani walikuwa wanakwenda sana kuangalia movies.
Kuna siku nyumba yao ilipigwa na radi, I wonder if it was because of the lighthouse.
I think it was Lulu.
Nilikuwa naenda na mshua nilikuwa mdogo sana. Mshua alikuwa anakaa na Judge Bomani, Judge Nyalali na washua wengine wanakata issues amabazo mimi hata sizielewi wakati huo.
Halafu kulikuwa na Mary Mosha hapa karibu na ubalozi wa Marekani wa Laibon. Alikuwa anasoma Forodhani. Baba yake alikuwa DG wa TANESCO, Mzee Mosha akaamua kuhama pale kwa sababu alisema ubalozi wa Marekani ulikuwa unawaangalia mpaka ndani.
Halafu kulikuwa na the Abebe sisters, Salaita na yule mwingine mdogo wake nafikiri yupo Las Vegas siku hizi. Anaitwa Maisara.
Halafu down the road Laibon kulikuwa na Arthur Lema na mdogo wake Brenda, baba yao likuwa DG breweries. Brenda was hot, but she was like a little sister to me.
Baba yao alivyotoka Breweries aienda kufanya kazi Nairobi for six month akarudi na a flashy red car. Akaenda kuwa DG wa Tanganyika Packers.
Arthur alipelekwa shule Ireland akanywa school fees zote, baba yake akampeleka Los Angeles California. Akasoma akarudi Tanzania kuendeleza mashamba yao.
Ule mtaa wa Laibon kulikuwa kuna nyumba ya Mwinyi, basi siku nyingine tukitoka shule tunakaa kuna kijiwe kona ya Kaunda, tunauona msafara wa Mwinyi anarudi nyumbani, anatupungia mkono.Mwinyi was cool to the kids on the corner.
Siku nyingine Mzee Mwinyi anaalika jirani kwenda kucheza naye bao, kuna mzee mmoja alikuwa anakaa nyuma ya nyumba yake alikuwa CEO wa NBC, karibu na kwa Speaker Adam Sapi, mtoto wake alikuwa rafiki yangu, walikuwa wanaitwa sana kwa Mwinyi kula kashata na kunywa kahawa.
Kuna siku Salama alikuwa ananiringishia sarafu mpya ina picha ya baba yake, nimapiga kofi, a message kwamba I don't care that your father is the president. Akataka kwenda kunisemea, lakini rafiki yake akamwambia huyo Kiranga ni kichaa, ukimsemea ndiyo utazidisha ugomvi. That is how I got away with slapping the president's daughter in the face. I am not proud of that, especially since my philosophy of not hitting women now.
Siku moja nikaamua kuwachemsha tu ubalozi wa Marekani. Nilitaka tu kuingia ubalozi wa Marekani na kuwauliza maswali.
Nikaingia. Kufika getini, yule Marine akaniomba ID, nilikuwa na wallet ina picha ya paka. Akaiangalia, akasema huyu ni paka wako? Nikasema ndiyo. Akafurahi sana. Apparently he was a cat person. Huyo paka hata hakuwa paka wangu, it was a stock photo.
Nilikuwa na documebts za watu wa kampuni za Marekani wanataka watu kutoka nchi za nje waende kufanya kazi Marekani. Nikawa nawaluliza wale watu wa Ubalozi, hawa Wamarekani tutawajuaje kama ni watu genuine au matapeli? Yule Consular wa Ublozi wa Marekani hakuwa na jibu. Kwanza aliniangalia kama haamini nauliza swali lile, inaonekana alikuw ahajapata kuulizwa swali lile na hakuelewa kama nimetumwa na serikali au vipi. Akaniambia atanipa mtu wa kunisaidia. Yule mtu alinizungusha ule ubalozi wa Marekani Laibon mpaka nikajua huyu ananizungusha makusudi nisijue ramani ya jengo. Mwisho wakanifikisha kwa mtu aliyeniambia kwamba Ubalozi wa Marekani Tanzania ni mdogo sana na hauna labor attache, kwa maswali yangu walihitaji nipate majibu kutoka kwa labor attache wa ubalozi wa Marekani Nairobi Kenya, nikapata mambo mengine nikaacha kufuatilia.
Mtaa huo pia walikuwa wanakaa kina Said, Idi, na wakina Janguo wengine.
Idi alikuwa na shobo sana, lakini siku moja alinionesha a very human side of him. Deereva wetu alikuja kunichukua shule, Muhimbili Primary (nilianza Muhimbili kwa sababu ya kukaa Upanga) halafu darasani mwalimu alikuwa katuchelewesha kutoka, yule derava hakujua la kufanya, Idi akajipa jukumu la kuja darasani na kumwambia mwalimu kwamba kuna dereva ananisubiri ameshangaa hatujaachiwa kuondoka darasani, mwalimu akaturuhusu kutoka, kutoka siku hiyo Idi Janguo akawa rafiki yangu.
Mtaa huo wa Laibon nakumbuka kina Chambi Chachage, kina Humphrey Mbise, Salama Mwinyi alikuwa anakuja kwenye nyumba yao ya Laibon siku moja moja, lakini mara nyingi akikaa Ikulu.
Siku moja natoka shule nikakutana na Salim Ahmed Salim akitembea kufanya mazoezi, alikuwa na bodyguars wake wachache tu, akatupa hi kawaida tu..
Kuna binti mmoja wa Adel, I forgot her first name, alikuwa anasoma Jangwani, baba yake alikuwa Permanent Secretary kwenye one of the key ministries, nilikuwa naongea naye sana kwenye simu halafu hanijui mimi ni nani.
Kuna siku tumeenda Ubalozi wa Indonesia kwenye party, kule Coco Beach, nikatokea naongea na mtoto wa balozi anataka sana kujua Kiswahili, alikuwa anasema anataka sana kujifunza Kiswahili, kinafanana sana na lugha yao, kilichofuata hapo sitaki kuhadithia.
Those were the days.
Yeah, Lulu was a crush of mine, the very early years, tell me more.1. Lulu Nyalali? 😀 Kama ndo yeye basi daah ngoja nikae kimya….
2. Idi alikuja kukuchukua shuleni bado ukiwa shule ya msingi Muhimbili?
Basi we utakuwa dogo sana 🤣
Nina washikaji kibao walisoma Muhimbili. Shit….I even had totoz who went there….lemme remember…..Neema….Prunella….Leyla….
My hommie Nkuruvi went there too…..you know him?
Hahahahahahaha dahWote walinijua kam akatoto wasinge hata waza , si unajua mademu wakiona katoto wanakapenda kama kukita basi mimi nikawa na dhani napendwa kimapenzi
Kumbe mpaka familia ya JPM ilikuwa na family friends?Mzee Mrangi mimi kilichonileta Dar ilikuwa chuo mwaka 2006 vinginevyo ningekuwa nakuja na fuso za ndizi tu.. hata huko ushuani nilipajua mapema kwasababu nilienda HESLB pale Tirdo kufuatilia mambo ya mikopo. Ila nilibahatika kufahamiana na binti wa Kitwanga... sasa hivi ni mtu mzito BOT kiasi kwamba kuonana naye ni ngumu. Mdogo wake Kitwanga alikuwa school mate. Nakumbuka familia za Kitwanga na Magufuli zilikuwa kitu kimoja. Mtoto wa Kitwanga au Magu angeweza kulala popote kati ya nyumba hizo mbili.
Si ni kama wewe tu au[emoji23] wa kisureNimeupenda...wa kishua wa kishua tuu