Tetesi: Vifo vya Wanajeshi wa JWTZ Minembwe, Congo: kama ni kweli, Je Samia na Mkunda wanahusika?

Hao wanajeshi ujanja wao ni kupiga raia wasio na silaha. Ukiona jeshi linatumika kwenye siasa za kipuuzi ujue wenyewe wameshajijua hawana uwezo, hivyo wanaficha udhaifu wao kwa kupiga raia wasio na silaha ili kuwahadaa walioko madarakani kuwa wana uwezo. Waambie hao mabishoo warudi kuja kuhakikisha ccm inabaki madarakani kwa shuruti, lakini hawana lolote mbele ya wanaume.
 
Inawezekana ikawa ni kweli...miezi miwili iliopita nikiwa kwenye shughuri zangu...pale kurasini/polisi ufundi zilipita gari za kiraia zikiwa zimebeba gari nyingine za kijeshi...ambazo zimepondeka vibaya mno nyingine zilikuwa na matundu ya risasi.. nyingine zilikuwa ni kama zilipinduka...nyingine zilionekana kama zimepigwa na mabomu...harafu gari hizo zote zilizo bebwa zilikuwa zimeng'olewa number plate.

ulikuwa msafara wa gari zisizo pungua 50 au zaidi...zilizopondeka vibaya mno...moyo ulikuwa unaniuma sana...sio mara yangu ya kwanza kushuhudia gari zikiwa zimepondeka lakini siku ile nilijikuta moyo umeniuma hadi chozi likanitoka...sikujua sababu ilikuwa ni nini hadi nikapatwa na uoga kiasi kile...leo ndio nimepata jibu😪😭😭😭

Mungu atuhurumie​
 
JESHI limesheheni UVCCM kwaajili ya kulinda genge lao la KIGAIDI la serikali HARAMU ya CCM, wacha wapelekewe moto waishie huko wote kabisa... Hakuna kuonea huruma Wajinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…