mswaki mbuyu
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 708
- 445
Kumbe kitambo pisi zilikua zinajiachia tuuInatakiwa wakaze mpake mwisho wawaondoe Ma-Ayatollah na wafahidhina waliowaondolea uhuru waliokuwa nao na kuharibu nchi yao nzuri.View attachment 2364489View attachment 2364490View attachment 2364491