INAUZWA Vifuatavyo vinauzwa, mmiliki anahamia nchi nyingine

INAUZWA Vifuatavyo vinauzwa, mmiliki anahamia nchi nyingine

Comments mbavu Sina aisee
IMG_20220127_133840.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Saingine chanzo cha ban ni mada kama hii ulioleta[emoji28] hamna mzungu Expatriate anakaaga kitunda!

Uelekeo ni Masaki ama Oysterbay siku zote akifeli sana ataishia Kawe au Mbezi beach. Huko ndiko kuna maeneo ambayo walau yanafanana na alipotoka.

Hizo bidhaa sema ulipozitoa kama si zako ila usisingizie ni za mzungu expatriate.
Atakua Mzungu mkurya uyo[emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliwahi kwenda Kitunda mara moja na nilihapa sitokaa niishi uko. Kwanza nilienda na vipanya alafu watu wote kwenye gari ni washamba na uncivilized, kelele kibao na uswahili mwingi. Nilichokuwa naenda kununua nikakuta ni feki nikarudi zangu nikaenda kipata kwa muuzaji mwingine mjini.
Kitunda kuna vumbi na kila kona kuna dalili za kuku. Either vibanda, mayai, vyakula, baiskeli za wabebaji. Yani fujo tu
Wanafuga Sana Bata kule[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mgeni kutoka Ubelgiji amevitumia chini ya miezi miwili na anaviuza kwasababu anahamia nchi nyingine.
1.Shelfu ya chuma- tsh100,000/=
2.Meza ya chuma ya jikoni-100,000/=
3.Mtungi wenye gesi kilo15(oryx)-100,000/=
4.Rice cooker (west point)-120,000/=
5.Mapazia6 na miti yake-80,000/=
6.Jiko la gesi (Ailyons)-120,000/=
7.Feni(High class)-70000/=
8.Kitanda(6*6) cha miti mgumu-600,000/=
9.Godoro(6*6) Tanfom-330,000/=
Maelewano yapo/punguzo kwa atakayechukua vitu kadhaa.Siku ya mwisho ni Alhamisi(27/01/2022)

Vitu vipo Kitunda,Kinyantira,kituo:Fundi Baiskeli-Dar es Salaam
Mawasiliano:0685381338

Muhimu:Mimi sio Dalali, ni mfanikishaji tu.

View attachment 2096362
View attachment 2096363
View attachment 2096364
View attachment 2096365
View attachment 2096366
View attachment 2096367
View attachment 2096369
Mzungu koko huyu
 
Hii picha huyu sio mzungu,labda mhindi au muarabu,ndio wako sawa na waafrika,kimaisha.
Huyo ni Mzungu tena ni states.....

Amini nakwambia huko Homelessness ni jambo la kufikia tena shukuru huku Bongo unaweza kulala barabarani weather sio mbaya kuna nchi huko kama UK mtu analala nje na anapigwa baridi ya kufa mtu...,

1643466800810.png
1643466891094.png
 
Unadhani kwa nini muuzaji kataja mzungu?
Mzungu anakaa Kitunda, Kinyanturu kwa Fundi Baiskeli....

utakabwa na panya road bure unatafuta dining table ya chuma na kabati la chuma
 
Mgeni kutoka Ubelgiji amevitumia chini ya miezi miwili na anaviuza kwasababu anahamia nchi nyingine.
1.Shelfu ya chuma- tsh100,000/=
2.Meza ya chuma ya jikoni-100,000/=
3.Mtungi wenye gesi kilo15(oryx)-100,000/=
4.Rice cooker (west point)-120,000/=
5.Mapazia6 na miti yake-80,000/=
6.Jiko la gesi (Ailyons)-120,000/=
7.Feni(High class)-70000/=
8.Kitanda(6*6) cha miti mgumu-600,000/=
9.Godoro(6*6) Tanfom-330,000/=
Maelewano yapo/punguzo kwa atakayechukua vitu kadhaa.Siku ya mwisho ni Alhamisi(27/01/2022)

Vitu vipo Kitunda,Kinyantira,kituo:Fundi Baiskeli-Dar es Salaam
Mawasiliano:0685381338

Muhimu:Mimi sio Dalali, ni mfanikishaji tu.

View attachment 2096362
View attachment 2096363
View attachment 2096364
View attachment 2096365
View attachment 2096366
View attachment 2096367
View attachment 2096369
Mmasai huyo, mzungu gani hana hata friji/jokofu
 
Kwa bei ya hivi vitu hapa, bora kama nina pesa nikanunue mpya kuliko kununua vitu used.
 
Mzee mm nipo Nyantila Mwembeni hapa, kesho ntakuja kunegoshieti na Mzungu mwenyewe face to face
 
Back
Top Bottom