Vifungashio vya plastiki visivyo na nembo ya TBS visitumike kuanzia leo

Kama hivyo vifungashio (vifuko) vina madhara kwa mtumiaji, kosa liko wapi?

Ila kama havina madhara, basi serkali ime yumba kwenye hilo, maana hizo ndio sekta za mtu wa hali ya chini sasa.

#totobaya#
 
Machupa ya plastiki ya maji nayo yamejazana mijini
 
Sasa mbadala ni nini?

Wale wananchi wa chini ina maana waache kufanya biashara zao ambazo ndio wanazitegemea kupata chakula cha siku sasa wataishije?

Hivi serikali inatambua uchumi wa kati upo kwenye karatasi tu na sio kwa wananchi?
Mnavyozidi kuwakazia uchumi utakuwa mkubwa kwenye karatasi lakini wananchi ni masikini wa kutupwa.

Tanzania itakuwa kama india.
 
Kitu ambacho TRA hawajawaambia wananchi ni kwamba siku hizi wanakusanya pia makusanyo yote ya TANAPA badala ya kodi kama ilivyokua awali.. So tegemea hizi story za kuvunja record kukua kadiri utalii unavyorudi kwenye hali yake ya kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…