Vifurushi vya Data: TCRA yasema mfumo wa zamani unaweza kurudi ndani ya siku nne

Mbona kwene kuvipandisha ilichukua siku mbili tu..
By the way siku nne sio nyingi,hadi leo nazan tyr zimebaki cku mbili ngoja tuone
 
Hiv na nchi zingne kuna huu upuuzi!? Wanafanyajrbkitu bila kujua madhara na faida.
 
Mmh!!!

Kuna mfumo gani huo wa kubadilishwa kwa siku nne kwenye kurekebisha tarrifs?
Hebu jiulize mf. Waliongeza bei kwa % 45. Wanashindwaje kuondoa hiyo 45% iliozidi hatA kwa dk 10 tu!?

Ni wazi tcra wameamua kushirikiana na wanaotuibia, na huyu waziri sijui ni kwa vp bado yupo tu ofisini licha ya kula njama na kutuibia, huyu kuna anaowatumikia lakini sio watz"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…