Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kijiji chako kizima kina hasara kuzalisha changu weweIQ yako iko below normal ndio maana hata unachokiandika hakieleweki,
Kajifundishe kuandika kwanza,
Halafu unapotokwa povu kwa quote ambayo haikua yako unatia mashaka,
Wazazi wako wana hasara kubwa sana.
Bora wewe mkuu mimi hapa niko na FreeBasicsMe mgomo wangu unaendelea. Day 3 no bundle. Hapa natumia WIFI ya job.
Hahahahaaa.. Yaani nimemkuta mtu yupo YouTube nimemshangaa sana. Labda warudishe bei za zamani.Bora wewe mkuu mimi hapa niko na FreeBasics
Yaani mkuu saivi mtanisikia Zantel tu aisee😂😂Hahahahaaa.. Yaani nimemkuta mtu yupo YouTube nimemshangaa sana. Labda warudishe bei za zamani.
Yaani mkuu saivi mtanisikia Zantel tu aisee😂😂Hahahahaaa.. Yaani nimemkuta mtu yupo YouTube nimemshangaa sana. Labda warudishe bei za zamani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahaaa.. Yaani nimemkuta mtu yupo YouTube nimemshangaa sana. Labda warudishe bei za zamani.
Watu wana midomo nuksi khaa.Mama yetu, Mh Rais Mama Samia, tufukuzie haraka huyu mtu Mkurugenzi TCRA , timua kabisa lirudi kwao usukumani, plz mama plz.😡
Kenu? Ipi mkuuMbona wengine hatuna hio kenu?
Tyr mkuu usku wa leo...anajiandaa kurudi mwanzaMama yetu, Mh Rais Mama Samia, tufukuzie haraka huyu mtu Mkurugenzi TCRA , timua kabisa lirudi kwao usukumani, plz mama plz.[emoji35]
NdioKwa hiyo walikuwa wanatujaribu waone tuta-react vipi sio?