Mtu fulani
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 675
- 1,011
Nataka ya GB 60 unayo nikufate
Naomba mkuu utakua umefanya la maana sanaNiku-save namba ya muungaji?
Kwa sasa hivi ni kwa siku 3 tu, au ni mimi tu wameniondolea niniZantel wana 1000 unapata 1gb mpaka itapoisha, pia halotel royal ipo vizuri matumizi mepesi,
Inawezekana sijajiunga mudaKwa sasa hivi ni kwa siku 3 tu, au ni mimi tu wameniondolea nini
Tigo
*147*00# offa maalumu, shlng 500= dakika 65+mb 5500+ sms 500
TTCL ukiwa na simu ina support 4g unaenjoy sanaSio kweli mimi natumia speed kubwa sana nashusha kitu cha gb 1 haizid nusu saa
[emoji2398]troublemaker 2019. all right received.
Ata ukitaka GB 100Nataka ya GB 60 unayo nikufate
Hakuna kitu Kama hicho
Umeongeza sifuri apo sio mb5500 ni mb550....!Tigo
*147*00# offa maalumu, shlng 500= dakika 65+mb 5500+ sms 500
nlikosea hapoUmeongeza sifuri apo sio mb5500 ni mb550....!
Umefunga milangoNaomba mkuu utakua umefanya la maana sana
Weka hapa mkuu halafu utafuta naisave fastaUmefunga milango
Privacy? Tatizo namba sio yangu then i rest my caseWeka hapa mkuu halafu utafuta naisave fasta
Ngoja nikufate basi pmPrivacy? Tatizo namba sio yangu then i rest my case
Anae jua jinsi yakupta Mbs za Vodacom vya michezoo4gb kwa 1500 usiku ni ndogo sana ndio maana sikuiweka, airtel na halotel wanatoa 10Gb
Duu ngoja nihamie huku, si kila laini ina hii ofaoffer hio wazee wa halotelView attachment 1076573
menu yake ni ngap hiiKwa watumiaji wa halotel naona kuna bundle hope kwa wenye matumizi makubwa ya data kitawafaa