Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Nipeni mtazamo wenu kuhusu Smile.

Speed ya internet, coverage, reliability n.k.

Chief-Mkwawa
Reliability wapo poa, kuna ofisi fulani tulikuwa tunaitumia muda wote wa kazi sijawahi kuona ikisumbua.

Coverage ni maeneo ya majiji tu, ngumu kuipata kando ya mji.

Speed yao kwa 4g ni kawaida sema advantage yake haina watu wengi hivyo haidrop, tofauti na mitandao yetu yenye watu wengi, kuna baadhi ya maeneo speed inadrop. Hata modem zao wana advertise 21mbps.
 
Tigo wako vizuri sana
Tatizo eneo hili halina 3g 4g
IMG_20190421_082934.jpeg
 
Reliability wapo poa, kuna ofisi fulani tulikuwa tunaitumia muda wote wa kazi sijawahi kuona ikisumbua.

Coverage ni maeneo ya majiji tu, ngumu kuipata kando ya mji.

Speed yao kwa 4g ni kawaida sema advantage yake haina watu wengi hivyo haidrop, tofauti na mitandao yetu yenye watu wengi, kuna baadhi ya maeneo speed inadrop. Hata modem zao wana advertise 21mbps.
Smile vs TTCL?

Ukiwa unachagua moja, ipi utachukua na kwanini?
 
Ttcl wana Tatizo la signal, hivyo nakushauri angalia eneo lako kwanza, TTCL wana LTE Advanced hivyo ukiwa na router nzuri na mahala pazuri itakuwa na speed zaidi na vifurushi vyao pia ni nafuu.

Smile wenyewe sio rahisi kama TTCL ila ni reliable, kwa mtu ambaye yupo serious ina make sense zaidi kutumia smile.
 
Naangaliaje eneo mkuu,maana unatak nitafute Ttcl maana nimeona kuna uafadhali kwenye bundle zao.....
 
Back
Top Bottom