New Nytemare
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 3,333
- 2,484
sidhani kama inachagua line maana unaipata kupitia menu ya halo pesaDuu ngoja nihamie huku, si kila laini ina hii ofa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sidhani kama inachagua line maana unaipata kupitia menu ya halo pesaDuu ngoja nihamie huku, si kila laini ina hii ofa
Mb za michezo? Unaweza kuelezea zaidi?Anae jua jinsi yakupta Mbs za Vodacom vya michezoo
Angalia kwenye iyo screenshot kwa juu mkuumenu yake ni ngap hii
Reliability wapo poa, kuna ofisi fulani tulikuwa tunaitumia muda wote wa kazi sijawahi kuona ikisumbua.
Asante Sana mkuuoffer hio wazee wa halotelView attachment 1076573
Hivyo vifurushi unapewa ukiwa hutumii internet, nilikuwa na line yao ipo kwenye kitochi muda tu, wakanipa pia.Tigo wako vizuri sana
Tatizo eneo hili halina 3g 4g View attachment 1077210
Smile vs TTCL?Reliability wapo poa, kuna ofisi fulani tulikuwa tunaitumia muda wote wa kazi sijawahi kuona ikisumbua.
Coverage ni maeneo ya majiji tu, ngumu kuipata kando ya mji.
Speed yao kwa 4g ni kawaida sema advantage yake haina watu wengi hivyo haidrop, tofauti na mitandao yetu yenye watu wengi, kuna baadhi ya maeneo speed inadrop. Hata modem zao wana advertise 21mbps.
Slay queen unatafuta unafuu😀😀😀Weka hapa mkuu halafu utafuta naisave fasta
Bavaria nataka unipoge brush la Forex kidogoSmile vs TTCL?
Ukiwa unachagua moja, ipi utachukua na kwanini?
Ttcl wana Tatizo la signal, hivyo nakushauri angalia eneo lako kwanza, TTCL wana LTE Advanced hivyo ukiwa na router nzuri na mahala pazuri itakuwa na speed zaidi na vifurushi vyao pia ni nafuu.Smile vs TTCL?
Ukiwa unachagua moja, ipi utachukua na kwanini?
Naangaliaje eneo mkuu,maana unatak nitafute Ttcl maana nimeona kuna uafadhali kwenye bundle zao.....Ttcl wana Tatizo la signal, hivyo nakushauri angalia eneo lako kwanza, TTCL wana LTE Advanced hivyo ukiwa na router nzuri na mahala pazuri itakuwa na speed zaidi na vifurushi vyao pia ni nafuu.
Smile wenyewe sio rahisi kama TTCL ila ni reliable, kwa mtu ambaye yupo serious ina make sense zaidi kutumia smile.
Mm sio slay queenSlay queen unatafuta unafuu[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mm sio slay queen
Nilijutia GB 10 zangu za night sikumoja
Hahahha huyu mzee wa lumumba ana shida sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Soma vitabu.Bavaria nataka unipoge brush la Forex kidogo
Vipi? TajaSoma vitabu.
Unaenda na line ya TTCL mahali unapoishi, na kuijaribuNaangaliaje eneo mkuu,maana unatak nitafute Ttcl maana nimeona kuna uafadhali kwenye bundle zao.....