Ochumeraa
JF-Expert Member
- May 18, 2015
- 4,505
- 5,715
OK nimekupata, I will.....Unaenda na line ya TTCL mahali unapoishi, na kuijaribu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OK nimekupata, I will.....Unaenda na line ya TTCL mahali unapoishi, na kuijaribu
Vitafute google.com au nyuzi za forex zilizowekwa na wanaofanya forex.Vipi? Taja
Be specific ukitaja jina itakuaje? Au huvijui na wewe?Vitafute google.com au nyuzi za forex zilizowekwa na wanaofanya forex.
Hapa kwenye mb 5500 au 550?Tigo
*147*00# offa maalumu, shlng 500= dakika 65+mb 5500+ sms 500
Hii menu naipataje kwa tigo ?Tigo wako vizuri sana
Tatizo eneo hili halina 3g 4g View attachment 1077210
*148*00#Hii menu naipataje kwa tigo ?
Si ofa maalum hii ?...mbona kwangu sioni offer kama ulizozionesha hapo juu ?*148*00#
Chagua 1
Ni offer maalumuSi ofa maalum hii ?...mbona kwangu sioni offer kama ulizozionesha hapo juu ?
Kanda ya ziwa hiiTigo wako vizuri sana
Tatizo eneo hili halina 3g 4g View attachment 1077210
Me nmetumia sana hvyo vifurushi nlipopita siku kadha kanda ya ziwa.hata speed ilkua poa saana.Hivyo vifurushi unapewa ukiwa hutumii internet, nilikuwa na line yao ipo kwenye kitochi muda tu, wakanipa pia.
Wenzio hawana wake Hao so wapo huru.kumbe unaongelea kukesha night kama popo hahahaha
Kwetu bandika bandua inapasua kinoma ila usijiroge kuunga kile cha Toboa tobo maana wamekibania speed kiaina
Ahaaa umenikumbusha kipindi kile tunaunga bundle la tigo wiki/mwezi ila baada ya kutumia dakika chache speed inadrop then unaunga cha jero speed inapanda unakula unlimited wiki/mwezi mzima.Kuna kipindi voda ilikuwa ukimaliza 2gb zako wanashusha hadi 64kbps, ile angalau ulikuwa unaweza ukastream youtube low quality na kuperuzi bila shida.
Tuna uhaba sana wa unlimited internet.
Inawafaa watumiaji wa WhatsApp, JF na FBNimeshajiunga mkuu, ukimaliza 2gb speed inakuwa hivi.
View attachment 1062379
Inastream youtube kwa 144p na 240p quality, juu ya hapo ni mikwamo, unaweza kubrowse vizuri tu. Sio mbaya kwa 10k kwa mwezi inasaidia sema kwa wenye matumizi ya kudownload haifai.
Zama hizi unaangalia uchafu wa 144p wakati Wenzio ni 1080
Haina speed sana mkuuHow fast is 2 Mbps?
If you have 4 devices streaming youtube at the same time?
Chief-Mkwawa
View attachment 1084213
Mkuu.Haina speed sana mkuu
Roughly hizi ndio speed zinazohitajika kustream quality fulani youtube.
1. 240p inahitaji 0.3 mpaka 0.7mbps
2. 360p inahitaji 0.4 mpaka 1mbps
3. 480p inahitaji 0.5 mpaka 2mbps
4. 720p inahitaji 1.5 mpaka 4mbps
Hivyo itaweza kuangalia youtube ila kwa quality mbovu sana. Unaweza ukaingia youtube sasa hivi na kuset 240p uone quality itakavyokuwa.
Hio speed inatosha kustream labda mtu mmoja tu. Tena ikiwa ni HD za 60fps pia haitatosha.
Wameshusha ni GB 2 kwa 1500siku hizi, haina issue bora uunge super uni. Kuunga ipo pamoja na vifurushi vya internet *149*01#Wakuu anaefahamu jinsi ya kuunga usiku pack ya voda na vipi speed yake na ujazo wake