Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Hivyo vifurushi unapewa ukiwa hutumii internet, nilikuwa na line yao ipo kwenye kitochi muda tu, wakanipa pia.
Me nmetumia sana hvyo vifurushi nlipopita siku kadha kanda ya ziwa.hata speed ilkua poa saana.
 
Kuna kipindi voda ilikuwa ukimaliza 2gb zako wanashusha hadi 64kbps, ile angalau ulikuwa unaweza ukastream youtube low quality na kuperuzi bila shida.

Tuna uhaba sana wa unlimited internet.
Ahaaa umenikumbusha kipindi kile tunaunga bundle la tigo wiki/mwezi ila baada ya kutumia dakika chache speed inadrop then unaunga cha jero speed inapanda unakula unlimited wiki/mwezi mzima.
 
How fast is 2 Mbps?

If you have 4 devices streaming youtube at the same time?

Chief-Mkwawa

20190429_211816.jpeg
 
How fast is 2 Mbps?

If you have 4 devices streaming youtube at the same time?

Chief-Mkwawa

View attachment 1084213
Haina speed sana mkuu

Roughly hizi ndio speed zinazohitajika kustream quality fulani youtube.

1. 240p inahitaji 0.3 mpaka 0.7mbps
2. 360p inahitaji 0.4 mpaka 1mbps
3. 480p inahitaji 0.5 mpaka 2mbps
4. 720p inahitaji 1.5 mpaka 4mbps

Hivyo itaweza kuangalia youtube ila kwa quality mbovu sana. Unaweza ukaingia youtube sasa hivi na kuset 240p uone quality itakavyokuwa.

Hio speed inatosha kustream labda mtu mmoja tu. Tena ikiwa ni HD za 60fps pia haitatosha.
 
Mkuu.

Bado nilikuwa nafanya utafiti wa router ipi ya kununua.

Nimefika muafaka wa kununua cha Smile.

Nimeona TTCL kama ni bahati nasibu, hawapo reliable.
 
Wakuu anaefahamu jinsi ya kuunga usiku pack ya voda na vipi speed yake na ujazo wake
 
Wakuu anaefahamu jinsi ya kuunga usiku pack ya voda na vipi speed yake na ujazo wake
Wameshusha ni GB 2 kwa 1500siku hizi, haina issue bora uunge super uni. Kuunga ipo pamoja na vifurushi vya internet *149*01#
 
Back
Top Bottom