Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Mkuu.

Bado nilikuwa nafanya utafiti wa router ipi ya kununua.

Nimefika muafaka wa kununua cha Smile.

Nimeona TTCL kama ni bahati nasibu, hawapo reliable.
Hawa smile nje ya mji kidogo wa dar wanapatikana kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…