Complex
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 4,119
- 4,779
Cha 5000 mchana kina GB 3, hivyo hakina tofauti Sana na hizo 4.4 then usiku ndio 5GB.
Hiki kifurushi kimekaaje.?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cha 5000 mchana kina GB 3, hivyo hakina tofauti Sana na hizo 4.4 then usiku ndio 5GB.
bandika bandua ni vifurushi vizuri kwa matumizi makubwa Kama kuangalia Netflix, zipo option KamaHiki kifurushi kimekaaje.?
Kwa uelewa wangu kitakuwepo, maana vifurushi vya kawaida havipotei.Hivi ukiifanya line ya TTCL kuwa ya chuo, kifurushi cha bandika bandua kitakuwepo kweli?
Hawa TTCL mafala sana wametuona wakulima tuna hela sana auTTCL karudi na ofa ya 88. Tsh 1000, mb 888 wiki.
Hapa ukiunga kwa tsh 5000. Unapata 4.4GB wiki
Mm yangu inagoma nikipga 149*142# au zinapatikana wap lain za chuo za vodaVodacom vifuryshi vya chuo
Kwa siku
![]()
Kwa wiki
![]()
Yaani bado uwe chuoni au hata kama kilishapita mda wake.Baada ya kusajili yule muhudumu alinambia inawezekana kama nina kitambulisho chochote cha shule/chuo anaunganisha
Hapo kwa tigo ebu niunge koncho [emoji847]BANDO KONKI ZA TIGO NA HALOTEL NICHEKI PM KAMA UNATAKA KUUNGANISHWA.
1. TIGO
Pata dakika 1000 tigo-tigo, 70 all net ,na Gb 10 kwa mwezi. 19000Tsh.
Gb 48 kila mwezi unapewa 4Gb kwa mwaka mzima unalipia Tsh 20000=tu valid kwa mwaka mzima
2.HALOTEL
*special bando zone*
*VIFURUSHI VYA HALOTEL.*
1 Dak *90* mitandao yote bei *4500* bila kikomo
2 Dak *170* halo to halo bei *5500* bila kikomo
3 Free Internet kwa wiki bei *7500*
4 Free internet kwa siku 1. Bei *3500*.
5. Dak *600* halotel + *100* mitandao yote + gb *5* kwa mwezi. Bei *8500/=*. (Mtk is needed)
*Huduma zilizopo ndo hizo.*
Ukihitaji nichek. Pm
.
NB. *Royal bando ipo ila bei zimepanda, zinaenda kwa 20k
Iko cha tigo ninacho ndo kinaishiaishia ila jamaha unaunga kwa bei ndefu sanaHapo kwa tigo ebu niunge koncho [emoji847]
Hiyo bei ndefu haitajatwi eeenh haya bakini na vifurushi vyenuIko cha tigo ninacho ndo kinaishiaishia ila jamaha unaunga kwa bei ndefu sanaView attachment 1174876
Karibu mkuu tukutane PMHapo kwa tigo ebu niunge koncho [emoji847]
Mkuu nashindwa ku-Access freebasic kwa laini ya airtel (nimeisajili J5 iliyopita) Tatizo nini hasa.. Imagine hua natumia Mb kutumia freebasic.. je kuna msaada wowote nisaidie?Kwa uelewa wangu kitakuwepo, maana vifurushi vya kawaida havipotei.
Unaweza kufanya line iwe ya chuo Bila kusajili line mpya ttcl?
mkuu mbona kwenye hicho kifurushi cha royal 10k kinasema unapewa mb 2 za kasi kubwa na mb 1.5 ni bonasi, hiyo ya kutumia internet hadi mwezi uishe umeitoa wapi?Ni halotel 10k dakika 120 mitandao yote 300 za halotel, sms 500 na internet bila kipimo kwa mwezi. Mzima tumia internet utakavo hamna kuisha ni hadi mwezi ukatike kifurushi ndo kinakoma.. Ishi kifalme ukijiunga na vifurushi vya Royal.. Halotel pamoja milele. View attachment 1177007
Ukimaliza hizo mb wanadrop speed Hadi around 60KBps Kisha unatumia unlimited internet.mkuu mbona kwenye hicho kifurushi cha royal 10k kinasema unapewa mb 2 za kasi kubwa na mb 1.5 ni bonasi, hiyo ya kutumia internet hadi mwezi uishe umeitoa wapi?
Mkuu sina uhakika, maybe umekosea spelling?Mkuu nashindwa ku-Access freebasic kwa laini ya airtel (nimeisajili J5 iliyopita) Tatizo nini hasa.. Imagine hua natumia Mb kutumia freebasic.. je kuna msaada wowote nisaidie?
nakumbuka kuna kifurushi flani nilikuwa najiunga hivi vya kasi kubwa ilikuwa kikiisha kifurushi cha kasi kinarudi cha kawaida yani ilikuwa spidi ndogo kama mtu anayetumia internet ya 2g, je kinafanana na hiko cha mwezi spidi yake mkuu?Ukimaliza hizo mb wanadrop speed Hadi around 60KBps Kisha unatumia unlimited internet.
Unlimited vya mwanzo ndio zilikuwa hivyo, hiki kina speed mara 3 ama 2 ya 2G.nakumbuka kuna kifurushi flani nilikuwa najiunga hivi vya kasi kubwa ilikuwa kikiisha kifurushi cha kasi kinarudi cha kawaida yani ilikuwa spidi ndogo kama mtu anayetumia internet ya 2g, je kinafanana na hiko cha mwezi spidi yake mkuu?