Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Hiki kifurushi kimekaaje.?
bandika bandua ni vifurushi vizuri kwa matumizi makubwa Kama kuangalia Netflix, zipo option Kama
-1000 GB 4 kwa siku (Mb 500 mchana 3.5GB usiku)
-2500 GB 10 kwa siku
-5000 GB 8 kwa wiki (3gb mchana na 5GB usiku)
Uzuri wake ni kwamba GB za usiku zinaanza saa 2 usiku muda mzuri ambao watu wanaangalia movies baada ya kutoka makazini.

Kujinga *148*30# then vifurushi vya TTCL then bandika bandua
 
Hivi ukiifanya line ya TTCL kuwa ya chuo, kifurushi cha bandika bandua kitakuwepo kweli?
Kwa uelewa wangu kitakuwepo, maana vifurushi vya kawaida havipotei.

Unaweza kufanya line iwe ya chuo Bila kusajili line mpya ttcl?
 
BANDO KONKI ZA TIGO NA HALOTEL NICHEKI PM KAMA UNATAKA KUUNGANISHWA.
1. TIGO

Pata dakika 1000 tigo-tigo, 70 all net ,na Gb 10 kwa mwezi. 19000Tsh.
Gb 48 kila mwezi unapewa 4Gb kwa mwaka mzima unalipia Tsh 20000=tu valid kwa mwaka mzima

2.HALOTEL

*special bando zone*
*VIFURUSHI VYA HALOTEL.*

1 Dak *90* mitandao yote bei *4500* bila kikomo

2 Dak *170* halo to halo bei *5500* bila kikomo

3 Free Internet kwa wiki bei *7500*

4 Free internet kwa siku 1. Bei *3500*.

5. Dak *600* halotel + *100* mitandao yote + gb *5* kwa mwezi. Bei *8500/=*. (Mtk is needed)

*Huduma zilizopo ndo hizo.*

Ukihitaji nichek. Pm
.
NB. *Royal bando ipo ila bei zimepanda, zinaenda kwa 20k
 
Hapo kwa tigo ebu niunge koncho [emoji847]
 
So far kifurushi changu pendwa baada ya Halotel kuleta mb250 kwa wiki na kifurushi kinayeyuka kama barafu

Kipo bora zaidi ya hiki kwa wiki kwa mitandao mingine?

Kwa uelewa wangu kitakuwepo, maana vifurushi vya kawaida havipotei.

Unaweza kufanya line iwe ya chuo Bila kusajili line mpya ttcl?
Mkuu nashindwa ku-Access freebasic kwa laini ya airtel (nimeisajili J5 iliyopita) Tatizo nini hasa.. Imagine hua natumia Mb kutumia freebasic.. je kuna msaada wowote nisaidie?
 
mkuu mbona kwenye hicho kifurushi cha royal 10k kinasema unapewa mb 2 za kasi kubwa na mb 1.5 ni bonasi, hiyo ya kutumia internet hadi mwezi uishe umeitoa wapi?
 
mkuu mbona kwenye hicho kifurushi cha royal 10k kinasema unapewa mb 2 za kasi kubwa na mb 1.5 ni bonasi, hiyo ya kutumia internet hadi mwezi uishe umeitoa wapi?
Ukimaliza hizo mb wanadrop speed Hadi around 60KBps Kisha unatumia unlimited internet.
 
Ukimaliza hizo mb wanadrop speed Hadi around 60KBps Kisha unatumia unlimited internet.
nakumbuka kuna kifurushi flani nilikuwa najiunga hivi vya kasi kubwa ilikuwa kikiisha kifurushi cha kasi kinarudi cha kawaida yani ilikuwa spidi ndogo kama mtu anayetumia internet ya 2g, je kinafanana na hiko cha mwezi spidi yake mkuu?
 
Unlimited vya mwanzo ndio zilikuwa hivyo, hiki kina speed mara 3 ama 2 ya 2G.

Kinatosha kustream YouTube 240p video zote, ama 360p kwenye channel maarufu, kubrowse pia Hakuna shida jf, na site nyepesi.

Sio mbaya mkuu, ukihitaji kudownload file kubwa unaunga vifurushi Cha usiku Kama bandika bandua, vifurushi Kama hiki kinakuweka online mwezi mzima kwa matumizi madogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…