Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

asante mkuu, bandika bandua naipatia wapi? mi nimezoea kile cha usiku ofa kinachoanza saa sita usiku.
 
Angalia matumizi yako mkuu Kama mb 500 kwa siku inakutosha Ni kifurushi kizuri.
yeah kwangu naona matumizi hayo yako ok, hofu yangu ni uhakika wa jamaa wanavyokula bando tu, je haitakuwa na sigisu kwenye mb consumption? maana baadhi ya mitandao mingine unakuta umepata mb kadhaa na zinavyopotea unashangaa kama hela za kubet
 
Mkuu Kuna mitandao speed inavyokuwa kubwa na wao wanakurushia content zenye quality kubwa na kusababisha mb kwenda nyingi, Sana Sana YouTube Wana tabia hii.

Tumia Go/mini/lite apps kupunguza ulaji wa mb Kama vile

-youtube go
-facebook lite
-gmail Go
-opera mini
-uc mini
-files go
-gallery go etc.
 
Nakubali
 
Msaada wakuu laini yangu ya voda kila nikiweka kwenye simu inaandika failed to register tatizo nini??
 
Vyote hivyo ni vya kitoto

Halotel
Dak 200 halo-halo, 120 mitandao yote, internet ni bure mwezi mzima yan bila kikomo

Gharama: 16,000/=

Mwezi mzima unateleza tu na internet bureee
 
Na vya mitandao mingine vya kibabe pia vipo bando mpaka za mwaka mzima yan
 
Mkuu menyu gani inapatikana hii
Vyote hivyo ni vya kitoto

Halotel
Dak 200 halo-halo, 120 mitandao yote, internet ni bure mwezi mzima yan bila kikomo

Gharama: 16,000/=

Mwezi mzima unateleza tu na internet bureee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…