Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Mkuu hiyo Go min lite inakuaje eb nipe maujuz
 
Mkuu hiyo Go min lite inakuaje eb nipe maujuz
App ambazo hazitumii resource nyingi sana kama ram ya simu na internet.

Mfano kuna facebook na facebook lite, facebook ni ya kawaida yenyewe inakuwa na mambo mengi na ni nzito na pia inakula sana mb, wakati facebook lite yenyewe ni nyepesi na mb kidogo.

Youtube pia ni hivyo hivyo youtube ya kawaida inaplay video mpaka za 4k wakati youtube go max ni 480p na unaweza chagua quality hadi 144p ili mb ziende kidogo.
 
Mkuu now halotel kuna elf 10 pia Royal bando, mpango. Mzima, nk
Vyote hivyo ni vya kitoto

Halotel
Dak 200 halo-halo, 120 mitandao yote, internet ni bure mwezi mzima yan bila kikomo

Gharama: 16,000/=

Mwezi mzima unateleza tu na internet bureee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…