Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

aise hiki kifurushi cha tigo cha *148*33# 10 gigs kwa 2000tshs hakipo kwangu. ningekipata kitakua mkombozi mkubwa sana. maana mara nyingi mpaka nisubiri usiku kwaajili ya kifurushi cha halotel au airtel
 
Boss Unapiga *149*42#
Hii ikoje? Unatakiwa kuwa na line maalum au hii hii ya kawaida mradi tu uwe maeneo ya chuo?
Maana nimecheki *149*42# kwa line ya kawaida inaleta vifurushi ambavyo kiukweli vinavutia, hawa ndugu zetu wakati mwingine wanakata hela halafu kifurushi hupewi kama uko nje ya chuo.
Msaada tafadhali!
 
We mkuu mbona hujataja na muda wa vifurushi hivyo? Au wamekupoza wenye makampuni au!!!
 
vyote vina.muda, hivyo ambavyo unaviona havina muda ni vya wiki sababu majority ya vifurushi vya chuo ni vya wiki
 
Mkuu mbona kuna taarifa kuwa hizo vocha za airtel za chuo, hazipatikani kwasasa na badala yake kuna line maalum??
 
wamebadili toka zile vocha kubwa kuja vocha ndogo ila bado zinapatikana kwa wingi tu.
 
Unamaanisha hizo vochs maalum?? Na je hata mtu akiwa mbali na dar anaweza kuzitumia??. Naomba maelekezo zinapouzwa, na aina ya vifurushi na bei ya vocha mkuu
 
bonyeza *150*06# then chagua 6 ofa kabambe then utaona uni vifurushi ndio hivyo. vocha zinazuwa vyuoni na zinatumika kokote penye airtel Tanzania.
 
Nielekeze zinapopatikana hizo vocha na bei tafadhali mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…