Kwaiyo unataka kusema tusipokuwa makini itakula kwetu kiongozi??Hapa so kwamba tunapigwa kweli !?? kuweni makini hizo elfu 8,000, 25,000, 80,000/ ni parefu tuwe makini na biashara mbovu kama hizi ambazo hazina ukweli ndani yake
Sawa mkuu hakuna neno, acha nidelete post. SamahaniHapa so kwamba tunapigwa kweli !?? kuweni makini hizo elfu 8,000, 25,000, 80,000/ ni parefu tuwe makini na biashara mbovu kama hizi ambazo hazina ukweli ndani yake
Usifute mkuu hiyo huduma tunaihitaji sana tuSawa mkuu hakuna neno, acha nidelete post. Samahani
Halafu tarehe 2 april kutakuwa na mabadiliko ya vifurushi ebu tuone kama ni affordable au undava
Mpendwa mteja, Taarifa ya mabadiliko ya vifurushi vyetu vyote kuanzia tarehe 01/04/2021. Piga *148*66# kujiunga vifurushi. Asante kwa kutumia Halotel!
Sisi wa Halotel ngoja tuone itatokea nini.
Mpendwa mteja, Taarifa ya mabadiliko ya vifurushi vyetu vyote kuanzia tarehe 01/04/2021. Piga *148*66# kujiunga vifurushi. Asante kwa kutumia Halotel!
Sisi wa Halotel ngoja tuone itatokea nini.
View attachment 1739949
View attachment 1739950
Tumeisha wakuu bora ilibokuwa bei za internert zimepanda mara mbili , vifurushi bya usiku sioni iyo ni halotel aliekuwa mkombozi wetu
Poleni sana ndio tanzania mpya hiyoView attachment 1739949
View attachment 1739950
Tumeisha wakuu bora tulivokuwa bei za internert zimepanda mara mbili , vifurushi bya usiku sioni iyo ni halotel aliekuwa mkombozi wetu
Ndo tanzania ya ccm mkuu hakuna namna tumeipenda wenyewe si halotel tu ni mitandao yote had kesho tareh 2 tutaona mengi naweza kusem bado halotel ni nafuu had kesho utazid kushangaa mitandao mingine ni swala la mudaView attachment 1739949
View attachment 1739950
Tumeisha wakuu bora tulivokuwa bei za internert zimepanda mara mbili , vifurushi bya usiku sioni iyo ni halotel aliekuwa mkombozi wetu
Hapana Bagheshi,unajua watu wameshazoea kila mleta post Ni scammer, so tunashindwa kusaidiana kwa namna hiyo. Ngoja tusubiri testimony ya Chief-Mkwawa endapo atafanikiwa kusubscribe huduma hiyo Ila nimerevoke ile link ya WhatsApp niliyopost. Kila mtu apambane kwa namna yake.Usifute mkuu hiyo huduma tunaihitaji sana tu
Dahh mkuu na hiv vifurushi vinapanda kuanzia kesho kwel namba tutaisomaHapana Bagheshi,unajua watu wameshazoea kila mleta post Ni scammer, so tunashindwa kusaidiana kwa namna hiyo. Ngoja tusubiri testimony ya Chief-Mkwawa endapo atafanikiwa kusubscribe huduma hiyo Ila nimerevoke ile link ya WhatsApp niliyopost. Kila mtu apambane kwa namna yake.
Halotel wameshapiga pini,4.4GB kwa Tsh 10,000/=Dahh mkuu na hiv vifurushi vinapanda kuanzia kesho kwel namba tutaisoma
Ndio hivo mkuu hakuna namna. Ukitaka kuwasaidia wanyonge wenzako unaonekana mpigaji. Kila mtu ashinde mechi za nyumbani kwake [emoji23][emoji23]Dahh mkuu na hiv vifurushi vinapanda kuanzia kesho kwel namba tutaisoma
Mkuu itakuwa jamaa kateleza tu msamehe si unajua huku jamvini wapigaji huwa wanakuwepo na wanaaribu taswira ya wamiinifu mkuuNdio hivo mkuu hakuna namna. Ukitaka kuwasaidia wanyonge wenzako unaonekana mpigaji. Kila mtu ashinde mechi za nyumbani kwake [emoji23][emoji23]
Poa poa mkuuMkuu itakuwa jamaa kateleza tu msamehe si unajua huku jamvini wapigaji huwa wanakuwepo na wanaaribu taswira ya wamiinifu mkuu
Jamaa aliniambia network ipo down, kwa kifurushi nilichotaka, vyengine vipo, nitaleta mrejesho nikifanikiwaHapana Bagheshi,unajua watu wameshazoea kila mleta post Ni scammer, so tunashindwa kusaidiana kwa namna hiyo. Ngoja tusubiri testimony ya Chief-Mkwawa endapo atafanikiwa kusubscribe huduma hiyo Ila nimerevoke ile link ya WhatsApp niliyopost. Kila mtu apambane kwa namna yake.
Sawa mkuuJamaa aliniambia network ipo down, kwa kifurushi nilichotaka, vyengine vipo, nitaleta mrejesho nikifanikiwa
tunaomba hizo link wakuu tusaidiane hali ni teteJamaa aliniambia network ipo down, kwa kifurushi nilichotaka, vyengine vipo, nitaleta mrejesho nikifanikiwa