Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Hapa so kwamba tunapigwa kweli !?? kuweni makini hizo elfu 8,000, 25,000, 80,000/ ni parefu tuwe makini na biashara mbovu kama hizi ambazo hazina ukweli ndani yake
Sawa mkuu hakuna neno, acha nidelete post. Samahani
 
Halafu tarehe 2 april kutakuwa na mabadiliko ya vifurushi ebu tuone kama ni affordable au undava

Mpendwa mteja, Taarifa ya mabadiliko ya vifurushi vyetu vyote kuanzia tarehe 01/04/2021. Piga *148*66# kujiunga vifurushi. Asante kwa kutumia Halotel!
Sisi wa Halotel ngoja tuone itatokea nini.
 
mm pia sijalala mpaka sasa ivi nione manadiliko gani yanatokea
 
Mpendwa mteja, Taarifa ya mabadiliko ya vifurushi vyetu vyote kuanzia tarehe 01/04/2021. Piga *148*66# kujiunga vifurushi. Asante kwa kutumia Halotel!
Sisi wa Halotel ngoja tuone itatokea nini.

April fool
 
IMG_3522.jpg

IMG_3521.jpg

Tumeisha wakuu bora tulivokuwa bei za internert zimepanda mara mbili , vifurushi bya usiku sioni iyo ni halotel aliekuwa mkombozi wetu
 
View attachment 1739949
View attachment 1739950
Tumeisha wakuu bora tulivokuwa bei za internert zimepanda mara mbili , vifurushi bya usiku sioni iyo ni halotel aliekuwa mkombozi wetu
Ndo tanzania ya ccm mkuu hakuna namna tumeipenda wenyewe si halotel tu ni mitandao yote had kesho tareh 2 tutaona mengi naweza kusem bado halotel ni nafuu had kesho utazid kushangaa mitandao mingine ni swala la muda
 
Usifute mkuu hiyo huduma tunaihitaji sana tu
Hapana Bagheshi,unajua watu wameshazoea kila mleta post Ni scammer, so tunashindwa kusaidiana kwa namna hiyo. Ngoja tusubiri testimony ya Chief-Mkwawa endapo atafanikiwa kusubscribe huduma hiyo Ila nimerevoke ile link ya WhatsApp niliyopost. Kila mtu apambane kwa namna yake.
 
Dahh mkuu na hiv vifurushi vinapanda kuanzia kesho kwel namba tutaisoma
 
Ndio hivo mkuu hakuna namna. Ukitaka kuwasaidia wanyonge wenzako unaonekana mpigaji. Kila mtu ashinde mechi za nyumbani kwake [emoji23][emoji23]
Mkuu itakuwa jamaa kateleza tu msamehe si unajua huku jamvini wapigaji huwa wanakuwepo na wanaaribu taswira ya wamiinifu mkuu
 
Hapana Bagheshi,unajua watu wameshazoea kila mleta post Ni scammer, so tunashindwa kusaidiana kwa namna hiyo. Ngoja tusubiri testimony ya Chief-Mkwawa endapo atafanikiwa kusubscribe huduma hiyo Ila nimerevoke ile link ya WhatsApp niliyopost. Kila mtu apambane kwa namna yake.
Jamaa aliniambia network ipo down, kwa kifurushi nilichotaka, vyengine vipo, nitaleta mrejesho nikifanikiwa
 
Back
Top Bottom