Halotel naona bado wapo vizuri, ukiwa na My Halotel app.Huu ndo wakati wa kurudia opera mini, uc mini, YouTube go, insta lite etc.
Nimejiunga hiy ya buku mbili wiki imekubali mkuuHalotel naona bado wapo vizuri, ukiwa na My Halotel app.View attachment 1741429
Halotel naona bado wapo vizuri, ukiwa na My Halotel app.View attachment 1741429
Hata mie nimewapa angalau heko halotel laini za chuo, nimepata relief kidg nitakuwa natumia .Yah ndo hiy ukipiga itakubali ila kam sio yenyewe itagoma ila ikikubali buku jero na buku mbili bado zina thaman sawa na bando
Chuo wako vzriHata mie nimewapa angalau heko halotel laini za chuo, nimepata relief kidg nitakuwa natumia .
Nimefanikiwa mkuu.😁😁. Nimejilipua 20000-gb22, Just in case. 😁😁Halotel naona bado wapo vizuri, ukiwa na My Halotel app.View attachment 1741429
Wana vifurushi vya zaidi ya mwezi?Halotel naona bado wapo vizuri, ukiwa na My Halotel app.View attachment 1741429
Hii app inapatikana playstore mkuu?Halotel naona bado wapo vizuri, ukiwa na My Halotel app.View attachment 1741429
Hapana.Wana vifurushi vya zaidi ya mwezi?
Yap ipo kwenye playstore.Hii app inapatikana playstore mkuu?
[emoji1477]Nimefanikiwa mkuu.[emoji16][emoji16]. Nimejilipua 20000-gb22, Just in case. [emoji16][emoji16]
Mkuu hii manu hutokaa uione wewe.. ila vifurushi vipo sana.. hapa nina kifurushi cha mienzi 6 nakula maishaAaah we usituchanishe mkeka ebu elezea menu yake iko vipi
Shukran [emoji120]Halotel naona bado wapo vizuri, ukiwa na My Halotel app.View attachment 1741429
nipo interested,napataje hii kitu?Mkuu hii manu hutokaa uione wewe.. ila vifurushi vipo sana.. hapa nina kifurushi cha mienzi 6 nakula maisha