Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Huu ndo wakati wa kurudia opera mini, uc mini, YouTube go, insta lite etc.
Halotel naona bado wapo vizuri, ukiwa na My Halotel app.
Screenshot_2021-04-02-18-37-32-060_com.vtg.app.myhalotel.jpg
 
Yah ndo hiy ukipiga itakubali ila kam sio yenyewe itagoma ila ikikubali buku jero na buku mbili bado zina thaman sawa na bando
Hata mie nimewapa angalau heko halotel laini za chuo, nimepata relief kidg nitakuwa natumia .
 
hapa cha muhimu nimeona sehem app inayo itwa my halotel iko vizuli wanuza bando kwa bei ire ire
 
Back
Top Bottom