Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

😂😂. Dah, nimecheka mkuu kama mambo mazuri! 😂😂😂
Umeamua uweke na lugha ya malkia kidogo kwa kusisitiza, 😂😂😂 sasa hili tuseme povu au 😂😂😂 yaani umetililika vibaya mno 😂😂😂
 
Bongo zinapatikana wapi?
 
Unaweza kuongeza nyama kidogo? Namna ya kubadili toka mteja Wa kawaida kuwa business?
Duh sorry broo.nilikuwa nje ya mtandao.

Hizi ni postpaid unalipa kuanzia tarehe 1-12.

Ila kwa kuanzia unalipa security package kwanza then unatuma I'd yako na pesa kwa wakala anakuunga.

.."kuna jamaa ndo kanipa hiyo darasa"
 
Ngoja niwatembelee nitaleta feedback.
 
Tunasubiri na pia tuone kasi yao iko vipi.
Nimepokea 2GB na MB 700 na dakika za mitandao yote kama 300 hivi na sms kadhaa, ambayo ni kama theluthi ya kifurushi changu cha 15000, Sababu mwezi unakaribia kuisha.

Unalipa kila mwisho wa mwezi, kwa maelezo yao mwezi huu sitalipa yote 15,000 Bali kiasi nilichotumia kwa hizi siku 10 zilizobakia hivyo around hio 5000.

Si kifurushi kibaya kwa biashara, ila kwa mb naona kama cha 25,000 GB 30 ni kizuri zaidi.

Kuhusu speed ni ile ile ya Tigo, haijafika level za Voda na Halotel ila Inatosha kwa mishe mishe za kila siku

Asante kwa mrejesho chief! Ila mwamba atabaki kuwa halotel, kwa Tsh 20,000 Unapata GB50 na dakika bila kikomo mitandao yote na hiyo ni kwa mwezi mzima yani!

Sidhani kama itatokea ofa kama hii
 
Asante kwa mrejesho chief! Ila mwamba atabaki kuwa halotel, kwa Tsh 20,000 Unapata GB50 na dakika bila kikomo mitandao yote na hiyo ni kwa mwezi mzima yani!

Sidhani kama itatokea ofa kama hii
Leo naunga hiki nione yaliyomo.
 
Asante kwa mrejesho chief! Ila mwamba atabaki kuwa halotel, kwa Tsh 20,000 Unapata GB50 na dakika bila kikomo mitandao yote na hiyo ni kwa mwezi mzima yani!

Sidhani kama itatokea ofa kama hii
Hii offer iko kwenye menu ipi ?
 
Asante kwa mrejesho chief! Ila mwamba atabaki kuwa halotel, kwa Tsh 20,000 Unapata GB50 na dakika bila kikomo mitandao yote na hiyo ni kwa mwezi mzima yani!

Sidhani kama itatokea ofa kama hii

Hii unaipataje chief
 
Asante kwa mrejesho chief! Ila mwamba atabaki kuwa halotel, kwa Tsh 20,000 Unapata GB50 na dakika bila kikomo mitandao yote na hiyo ni kwa mwezi mzima yani!

Sidhani kama itatokea ofa kama hii
Hii Tanzanite sio? Mkuu kwa mishe zangu mimi sikuwa na option ni tigo tu.
 
Hii unaipataje chief
Hii ni ofa maalumu Ya halotel kwa line maalum pekee, kama hauna line maalum basi itakubidi ujiunge kwa Tsh 50k.
Ila ukipata line zake basi utajiunga kwa Tsh 20k tu. Ofa nzuri sana
 
Hii ni ofa maalumu Ya halotel kwa line maalum pekee, kama hauna line maalum basi itakubidi ujiunge kwa Tsh 50k.
Ila ukipata line zake basi utajiunga kwa Tsh 20k tu. Ofa nzuri sana
Bro hii line mimi ninayo, majuzi walipofanya mabadiliko ya vifurushi hii offer ilikata. Hata menu ilibadilika , ile option ya jiunge tena haipo, na hata ukiweka salio stahiki hawakati.
Ila u never know labda umebahatika bro ? , hili bando lilikuwa the best so far.
Mimi kwa 5000 kwa week nilikuwa napata 15 Gbs, unlimited calls mitandao yote na sms 1000.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…