Mtandao gani mdau , Tuanzie hapo [emoji23][emoji23][emoji23]Habarini wadau kwa anayehitaji kuunganishwa na Internet bure anicheki Whatsapp namba 0762827579 nikuunganishe.
Bro hii line mimi ninayo, majuzi walipofanya mabadiliko ya vifurushi hii offer ilikata. Hata menu ilibadilika , ile option ya jiunge tena haipo, na hata ukiweka salio stahiki hawakati.
Ila u never know labda umebahatika bro ? , hili bando lilikuwa the best so far.
Mimi kwa 5000 kwa week nilikuwa napata 15 Gbs, unlimited calls mitandao yote na sms 1000.
Tuko pamoja bro ngoja tupambaneNami pia ni mhanga wa hii. Line imerudi kuwa ya kawaida haina mbwembwe tena. Kama kutakuwa na namna ya ku reactivate ukifanikiwa tushtuane
View attachment 1793241
voda ndo hapo huwa naikubali 3gb siku 5 na kwa speed nzuri ajabu.
Nilishaga tupa na line. Hiyo huduma sijui kama bado ipo. Sasa niko halotel gb3 kwa 3k week.Kwa shilingi ngapi?
Kile cha mwaka? Ndio nimetumia miezi 2 sasa kipo fresh,Chief-Mkwawa ulifanikiwa kuungwa mkuu?
Kipi hicho bossKile cha mwaka? Ndio nimetumia miezi 2 sasa kipo fresh,
Kipo humu kama kurasa kadhaa nyuma tu,Kipi hicho boss
Internet Cafe pia hawa chaji hivyo,
Vipi kwa hivyo unlimited vipo fair ama ni mkasi?Internet Cafe pia hawa chaji hivyo,
Ndio hio niliojibu hata internet Cafe hawa chaji hivyo. No way nilipe 2500 kwa nusu saa. Angalau ingekua siku nzima.Vipi kwa hivyo unlimited vipo fair ama ni mkasi?
Nawezaje kupata kifurushi cha mwaka unlimited???Kile cha mwaka? Ndio nimetumia miezi 2 sasa kipo fresh,
Ongea na huyo huyo niliemjibu.Nawezaje kupata kifurushi cha mwaka unlimited???
Voda wanayo postpaid ama atleast walikuwa nayo, ila most of time postpaid ni kwa ajili ya biashara na watu ambao income zipo fixed sio za kubabaisha.Naomba kuuliza ,voda wana vifurushi vya postpaid kama tigo?? View attachment 1796254
Kinapatikana vipi iko kifurushi?Kile cha mwaka? Ndio nimetumia miezi 2 sasa kipo fresh,