Ipo sio utapeli, kama hutojal jongea inboxHapana situmii hizo, kuwa tu makini na matapeli.
Hiyo ni app inaitwa psyphon nadhani ni km VPN unai download playstore but speed yake bora kobe ana afadhali lkn pia uwe unatumia halotel zen mwishowe jiandae kuharibu line yako over.
Kupata huduma hii unapiga namba ganNaomba kuuliza ,voda wana vifurushi vya postpaid kama tigo?? View attachment 1796254
Unaenda ofisi za Tigo mpaka ujaze fomu.Kupata huduma hii unapiga namba gan
Nafkiri ni marketing term tu, vifurushi ni vile vile.Kuna tofauti gani kwa hivi vifurushi vya halotel vile vya 4g na vile vya kawaida?
Nenda setting weka "3G only" toa "auto" usikute 4G inakuponza inakula vibaya mno mbs mi nimetumia ilo bando la airtel la buku youtube..insta sana na haliishi siku 2 zote apa na mb 300 bdo..Mkuu km itakupendeza naomba unipe muongozo jinsi ya ku set data flow kwenye simu yng mana nimekimbia Airtel nmekuja voda bado data zinakimbia sn, nmejiunga gb 1 cja download chochote wala kuingia popote zaidi ya Jf lkn gb 1 imebaki mb 500 for only two hours.
Km tatizo ni mtandao basi nishauri niende wapi, je ttcl vp, msaada mkuu.
TqNenda setting weka "3G only" toa "auto" usikute 4G inakuponza inakula vibaya mno mbs mi nimetumia ilo bando la airtel la buku youtube..insta sana na haliishi siku 2 zote apa na mb 300 bdo..
Kipo ntatest usikuKwenye menu ya halotel kuna sehemu ya zawadi kwa rafiki' naona wameweka kuwa unaweza mnunulia mtu kifurushi cha 1500 unlimited usiku.
Sijajua kama walisahau badilisha walipokipunguza au vipi....kwa aliyejaribu atujuze
Usisahau Kuleta Mrejesho AsubuhiKipo ntatest usikuView attachment 1836825
Kile cha mwaka? Ndio nimetumia miezi 2 sasa kipo fresh,
Tigo Mkuu. Sema nimehamia post paid sasa hv.Mkuu mtandao gani huo wana cha mwaka ?
Tigo Mkuu. Sema nimehamia post paid sasa hv.
Sio cha kuingiza namba Mkuu ni wakala anakuunga, muone donluccheseMkuu asante,kuingia unabonyeza ngap mkuu sorry?
Nashindwa kukesha alafu sina cha kudownload, kusema nitaacha vitu vinashuka nilale... [emoji28][emoji28][emoji28] Ila Nadhani kitakuepoUsisahau Kuleta Mrejesho Asubuhi
Wanatoa GB 5 tu... Bila kikomo ni swagaa tu sio ukweliUsisahau Kuleta Mrejesho Asubuhi