Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Kwenye menu ya halotel kuna sehemu ya zawadi kwa rafiki' naona wameweka kuwa unaweza mnunulia mtu kifurushi cha 1500 unlimited usiku.
Sijajua kama walisahau badilisha walipokipunguza au vipi....kwa aliyejaribu atujuze
 
Mkuu km itakupendeza naomba unipe muongozo jinsi ya ku set data flow kwenye simu yng mana nimekimbia Airtel nmekuja voda bado data zinakimbia sn, nmejiunga gb 1 cja download chochote wala kuingia popote zaidi ya Jf lkn gb 1 imebaki mb 500 for only two hours.

Km tatizo ni mtandao basi nishauri niende wapi, je ttcl vp, msaada mkuu.
Nenda setting weka "3G only" toa "auto" usikute 4G inakuponza inakula vibaya mno mbs mi nimetumia ilo bando la airtel la buku youtube..insta sana na haliishi siku 2 zote apa na mb 300 bdo..
 
Kwenye menu ya halotel kuna sehemu ya zawadi kwa rafiki' naona wameweka kuwa unaweza mnunulia mtu kifurushi cha 1500 unlimited usiku.
Sijajua kama walisahau badilisha walipokipunguza au vipi....kwa aliyejaribu atujuze
Kipo ntatest usiku
IMG_20210701_164455.jpg
 
Usisahau Kuleta Mrejesho Asubuhi
Nashindwa kukesha alafu sina cha kudownload, kusema nitaacha vitu vinashuka nilale... [emoji28][emoji28][emoji28] Ila Nadhani kitakuepo

Nikifanikiwa kucheki nitarejesha taarifa
 
Back
Top Bottom