Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Mitandao yote hivyo siku hizi!
Halotel ikifika saa 4 mpk saa 5/6 network inapata kifafa kisichoeleweka! Voda nao waliokuwa bora nao siwaelewi mefi kabisa!!
Dab umenifanya nicheke, nilikua napata hasira sana, nikawa naiboost kwa kuchange network kutoka 3g/4g kwenda 3g/4g/gsm, wakati nashangaa hapa natumia tigo mnara una 4g+ toka jana usiku mpaka sasa haijashuka h+ kabisa yani.
 
Airtel wameifuta bundle ya 10 GB Usiku Imebakia ya GB 5 Halotel .Wakiifuta na hii duuuuh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…