42774277
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 6,833
- 8,853
Mbona mimi nmetoka kujiunga 2GB kwa siku 3 kwa 2000 kwenye hiyohiyo airtelAirtel
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona mimi nmetoka kujiunga 2GB kwa siku 3 kwa 2000 kwenye hiyohiyo airtelAirtel
Airtel wanajifanya wahuni, ngoja turudi kule tuwaibie vizuri pumbavu zao.Airtel
Hicho wamekificha ficha ila hata mie nilikipata nakuunga fresh ila baada ya kutumia kidogo ujumbe huo hapo "ndugu mteja umefikia 100% ya kifurushi chako cha Mb 1535"Mbona mimi nmetoka kujiunga 2GB kwa siku 3 kwa 2000 kwenye hiyohiyo airtel
Aisee Airtel si pema tena....
Airtel ni wezi, nilishaachana nao.Hicho wamekificha ficha ila hata mie nilikipata nakuunga fresh ila baada ya kutumia kidogo ujumbe huo hapo "ndugu mteja umefikia 100% ya kifurushi chako cha Mb 1535"
Actual ukiunga hawakupi 2Gb Kamili manina zao
Mkuu fanya utaratibu tupate ofa ya HalotelAirtel ñna ka hat.file Ila sijajua kama kana f(x)
Njunwa WamavokoWale wataalamu wa Tunnel Guru na Ha Tunnel mtupe ujuzi jamani hali ni tete
Nauza vocha za Airtel kwa punguzo la 20%. Vocha ya 1000 nakuuzia kwa 800. Karibuni
Voda wametoa kifurushi changu pendwa siku hizi najifariji na kifurushi cha TTCL 1.2GB kwenye T-Pesa for 5 Days.Mitandao yote hivyo siku hizi!
Halotel ikifika saa 4 mpk saa 5/6 network inapata kifafa kisichoeleweka! Voda nao waliokuwa bora nao siwaelewi mefi kabisa!!
Nauza vocha za Airtel kwa punguzo la 20%. Vocha ya 1000 nakuuzia kwa 800. Karibuni
Hata mimi nilikuwa nacho kama hicho Voda wamenibadilishia juzi. Hicho kifurushi cha TTCL sikijui...ila hawa nao majanga kishenzi meseji tu sometimes kwenda huwa utata! Ila internet ikikubali inakubali kweliVoda wametoa kifurushi changu pendwa siku hizi najifariji na kifurushi cha TTCL 1.2GB kwenye T-Pesa for 5 Days.
Daah Voda wametufanyia unyama, TTCL nadhani location ina matter pia, kwa eneo nililopo mimi ni mseleleko tu haina shida ingawa huduma ya kupiga na kutuma sms sijawahi itumia.Hata mimi nilikuwa nacho kama hicho Voda wamenibadilishia juzi. Hicho kifurushi cha TTCL sikijui...ila hawa nao majanga kishenzi meseji tu sometimes kwenda huwa utata! Ila internet ikikubali inakubali kweli
Ttcl wana band 2 1800 na 2300, kwa uelewa wangu 2300 ipo fasta.Daah Voda wametufanyia unyama, TTCL nadhani location ina matter pia, kwa eneo nililopo mimi ni mseleleko tu haina shida ingawa huduma ya kupiga na kutuma sms sijawahi itumia.