Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Kama una kipato cha uhakika unga vifurushi vya Home internet ama postpaid vina value kubwa.
 
Airtel wamezidi, yaani 1GB kwa TSH 2000.
Wamenishitua sana kwa kweli. Sijui Vodacom na Halotel watafanya pia maana mabadiliko haya ya vifurushi kuna message ilisema vitakamilika Septemba 30.
 
Hivyo ni sawa na vya Tigo "size yako" unachotakiwa mtu ni kuwa tu na line za Kutosha, line 1 ya internet na 2 main line. Unahama mtandao wa Internet kulingana na uzuri wa vifurushi.
Ndiyo maana mimi ninazo za mitandao yote except chip ya smile tu..

Ila tigo wananipa vifurushi vizuri kweli havibadiliki ka vya voda.
 
Home Internet ndio kabisa wamekiaribu compared to bei zao za miezi iliyopita. Postpaid ipoje kwa sasa kwa mfano GB 100 kwa mwezi ni bei gani?
Page 161 uzi huu kuna mdau alileta hii screenshot

2780029_IMG-20210519-WA0015.jpg


Kuungwa unaenda ofisi za Tigo yoyote, kulipia unatumia Tigopesa.
 
Daaah! Naona vifurushi vya usiku vinazidi kunyongwa tu. Airtel siwaelewi ni kama washafanya yao kwenye kile cha Amsha popo 10GB kwa TZS 1500/=
 
Back
Top Bottom