Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Mbona mimi nmetoka kujiunga 2GB kwa siku 3 kwa 2000 kwenye hiyohiyo airtel
Hicho wamekificha ficha ila hata mie nilikipata nakuunga fresh ila baada ya kutumia kidogo ujumbe huo hapo "ndugu mteja umefikia 100% ya kifurushi chako cha Mb 1535"
Actual ukiunga hawakupi 2Gb Kamili manina zao
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sijui kwann nliruka huu uzi kabla ya kuweka 3000 airtel money ili nipate gb zangu 20 mpaka asubuhi kupitia night pack,

nimeweka na kutana na tu mb 375
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nan anajua bando lingine la night ndugu zangu
 
Hicho wamekificha ficha ila hata mie nilikipata nakuunga fresh ila baada ya kutumia kidogo ujumbe huo hapo "ndugu mteja umefikia 100% ya kifurushi chako cha Mb 1535"
Actual ukiunga hawakupi 2Gb Kamili manina zao
Airtel ni wezi, nilishaachana nao.
 
Nauza vocha za Airtel kwa punguzo la 20%. Vocha ya 1000 nakuuzia kwa 800. Karibuni
 
Mitandao yote hivyo siku hizi!
Halotel ikifika saa 4 mpk saa 5/6 network inapata kifafa kisichoeleweka! Voda nao waliokuwa bora nao siwaelewi mefi kabisa!!
 
Voda wametoa kifurushi changu pendwa siku hizi najifariji na kifurushi cha TTCL 1.2GB kwenye T-Pesa for 5 Days.
 
Unafuu kidogo Kwa halotel
Screenshot_20211010-214656.jpg
 
Voda wametoa kifurushi changu pendwa siku hizi najifariji na kifurushi cha TTCL 1.2GB kwenye T-Pesa for 5 Days.
Hata mimi nilikuwa nacho kama hicho Voda wamenibadilishia juzi. Hicho kifurushi cha TTCL sikijui...ila hawa nao majanga kishenzi meseji tu sometimes kwenda huwa utata! Ila internet ikikubali inakubali kweli
 
Daah Voda wametufanyia unyama, TTCL nadhani location ina matter pia, kwa eneo nililopo mimi ni mseleleko tu haina shida ingawa huduma ya kupiga na kutuma sms sijawahi itumia.
 
Back
Top Bottom