msukuma fekero
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 2,285
- 2,969
Ila kuna jamaa humu alikuwa anaunga kweli ila sasa hivi simuoni onlineMi nlipigwa 35k
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila kuna jamaa humu alikuwa anaunga kweli ila sasa hivi simuoni onlineMi nlipigwa 35k
Ambayo ni sawa na Gb 6 Kila mwezi upuuzi tu kwangu Mimi naonanatafuta hii kitu
Dab umenifanya nicheke, nilikua napata hasira sana, nikawa naiboost kwa kuchange network kutoka 3g/4g kwenda 3g/4g/gsm, wakati nashangaa hapa natumia tigo mnara una 4g+ toka jana usiku mpaka sasa haijashuka h+ kabisa yani.Mitandao yote hivyo siku hizi!
Halotel ikifika saa 4 mpk saa 5/6 network inapata kifafa kisichoeleweka! Voda nao waliokuwa bora nao siwaelewi mefi kabisa!!
Nimekuwa muoga hatariiIla kuna jamaa humu alikuwa anaunga kweli ila sasa hivi simuoni online
Gb 5 kwa bei gani?Airtel wameifuta bundle ya 10 GB Usiku Imebakia ya GB 5 Halotel .Wakiifuta na hii duuuuh.
1500Gb 5 kwa bei gani?
wameifuta, halotel sasa ni gb 1.1 kwa 1500Airtel wameifuta bundle ya 10 GB Usiku Imebakia ya GB 5 Halotel .Wakiifuta na hii duuuuh.
Mambo yako kasi sana , huyu mama nae kabug uongozi wakeUsiku pack halotel now[emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]View attachment 1979221
TTCL nao wamefuta ile 10gb kwa 10,000 kwa wiki sasa imekkuwa gb 7.5 kwa 10,000wameifuta, halotel sasa ni gb 1.1 kwa 1500
TTCL nao wamefuta ile 10gb kwa 10,000 kwa wiki sasa imekkuwa gb 7.5 kwa 10,000wameifuta, halotel sasa ni gb 1.1 kwa 1500
TTCL tulikuwa tunapata Gb1. 2 Kwa siku tano lakini sasaivi wameondoa. Jamani Mtandao gani uko na unafuu? Vipi Zantel, tuhamie huko au nao washafyeka?TTCL nao wamefuta ile 10gb kwa 10,000 kwa wiki sasa imekkuwa gb 7.5 kwa 10,000
Mitandao yote hovyo tu kwa sasaTTCL tulikuwa tunapata Gb1. 2 Kwa siku tano lakini sasaivi wameondoa. Jamani Mtandao gani uko na unafuu? Vipi Zantel, tuhamie huko au nao washafyeka?
saizi ikoje mkuuTTCL tulikuwa tunapata Gb1. 2 Kwa siku tano lakini sasaivi wameondoa. Jamani Mtandao gani uko na unafuu? Vipi Zantel, tuhamie huko au nao washafyeka?
Sijui tutumia mitandao ganMitandao yote hovyo tu kwa sasa
Zantel bado wanaongoza LigiTTCL tulikuwa tunapata Gb1. 2 Kwa siku tano lakini sasaivi wameondoa. Jamani Mtandao gani uko na unafuu? Vipi Zantel, tuhamie huko au nao washafyeka?
amna kitu hao now wamebadilishaZantel bado wanaongoza Ligi