Kichochoro
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 1,135
- 1,167
Naunganisha tgo gb 72 za mwaka mzima ambapo kila mwez utapata GB 6 kwa siku 14 kwa mwaka mzima Bei Pm. ( Malipo kabla ya kazi).
Pia naunganisha free call tgo kwa miaka 2 ( malipo baada ya kazi)
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]Only for seriously people.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Voda ama? Pengine wamebadili hio no.
Kwa jibu hilo, kuna harufu ya utapeli.
mnapenda mseleleko vjana kwann msinunue vyauhalaliMkuu hawa watu wa vifurushi mungu anawaona mimi nilishatuma hela sana lakini napigwa tu juzi nimetuma 17,000/= lakini nimepigwa
Mkuu Sina hyo Tabia watakuja wadau watakuambia mkuuMkuu hawa watu wa vifurushi mungu anawaona mimi nilishatuma hela sana lakini napigwa tu juzi nimetuma 17,000/= lakini nimepigwa
Mimi nina laini ya chuo niliipata mtaani lakini nikipiga *149*42# vinakuja vifurushi vingine nifanyeje.
Inawezekana wewe ndiyo tapeli unata uungwe halafu uingie mitiniMkuu hawa watu wa vifurushi mungu anawaona mimi nilishatuma hela sana lakini napigwa tu juzi nimetuma 17,000/= lakini nimepigwa
kabisa mkuu hawa matapeli sio wa kupewa nafasi ukizingatia huwajuiInawezekana wewe ndiyo tapeli unata uungwe halafu uingie mitini
mnapenda mseleleko vjana kwann msinunue vyauhalali
mnajikosha tu lakn ndo walewale
Inawezekana wewe ndiyo tapeli unata uungwe halafu uingie mitini
Jamaa gani hebu mtag acha longolongo maana watu wengi tu humu wameungwa na wengine wakakimbia baada ya kuungwaAiseee mkuu nimetuma pesa kwanza jamaa kaingia mitini siku ya pili sasa
Jamaa gani hebu mtag acha longolongo maana watu wengi tu humu wameungwa na wengine wakakimbia baada ya kuungwa
Mkuu ukimuunga huyu jamaa bila hela mbele ataingia mitini kwa kasi ya hatari hutaamini macho yako
Kumbe ni mambo ya Instagram huko unayaleta huku mimi ni kajua ni member wa huku kumbe hamna kituWewe sina njaa na vihela vidogo mkuu ajaribu aone hapa hapa muamala ufanyike kama ni biashara kweli
Kumbe ni mambo ya Instagram huko unayaleta huku mimi ni kajua ni member wa huku kumbe hamna kitu
Kwenye huu uzi walishatajwa watu wa uhakika na waaminifu au hujausoma uzi wote unaamua kutuchosha tuAaaaaah kwani tapeli si tapeli tu hata angekua humu nimejaribu kukuonesha kwamba hizi biashara wapo waongo sana na mimi sijawahi pata mkweli aiseee
Kwenye huu uzi walishatajwa watu wa uhakika na waaminifu au hujausoma uzi wote unaamua kutuchosha tu
Pata Gb Unlimited TTcl kwa mwezi mzima. Kwa shilingi 10k tu kama unahitaji nicheki Pm. Nikuunge.