Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Naunganisha tgo gb 72 za mwaka mzima ambapo kila mwez utapata GB 6 kwa siku 14 kwa mwaka mzima Bei Pm. ( Malipo kabla ya kazi).
Pia naunganisha free call tgo kwa miaka 2 ( malipo baada ya kazi)
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]Only for seriously people.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Tatizo huwa hamuunganishi mimi nilishatuma hela sana lakini wananitapeli hata leo nimepigwa aiseee nyie watu mungu anawaona
 
Jamaa gani hebu mtag acha longolongo maana watu wengi tu humu wameungwa na wengine wakakimbia baada ya kuungwa

Mkuu biashara ilianza insta ikahamia whatsapp lakini jamaa hadi kaniblock aiseee
IMG_0261.jpg

IMG_0260.jpg
 
Kwenye huu uzi walishatajwa watu wa uhakika na waaminifu au hujausoma uzi wote unaamua kutuchosha tu

Aiseee mimi sijakataa kwamba waaminifu hawapo ila kikubwa mimi kufanya hii kitu labda niungwe kwanza hata sasa hivi niko tayari na hela ipo na haina kazi imesubiri kazi kama hizo mkuu
 
Back
Top Bottom